Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 508.

  • 29 May 2025 in Senate: Bw. Spika, ni heshima kubwa sana kupata hii nafasi kuzungumzia jambo ambalo nimekuwa nikilizungumzia kwa muda mrefu sana. view
  • 29 May 2025 in Senate: Swala ambalo limeletwa katika Seneti hii ni jambo ambalo Sen. (Dr.) Khalwale amelichambua sana. Ukweli ni kwamba kazi ya Seneti ni kuhakikisha kuwa sisi ni nyapara; watu ambao wamepewa jukumu na wananchi kuhakikisha kuwa pesa za wananchi wa Kenya zinazotakiwa kufanya kazi mashinani zifanye kazi hiyo. Hii ni kuhakikisha kuwa serikali kuu ikishachukua ushuru wetu, tunagawa pesa hizo halafu zinaenda mashinani. view
  • 29 May 2025 in Senate: Kulingana na vile Sen. (Dr.) Khalwale amesema, ukitembea Kenya nzima katika maeneo gatuzi 47 yote, kuna miradi ambayo haijafanyika na fedha zinafujwa. Ukiangalia miradi ile ingine ambayo imepewa fedha nyingi, hata juzi nimepata ujumbe kuwa kuna maeneo mengine ambayo miradi iko kwa karatasi ya serikali, lakini ukienda pale, miradi ile hakuna. view
  • 29 May 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika ningependa kukusihi kama yule anayetusimamia katika hii Seneti kwamba ni wajibu wetu kama viongozi ambao tumepewa jukumu la kuhakikisha tumechunga na kulinda pesa za wananchi maskini katika nchi yetu, tuondoke hapa Nairobi, tuende tukatembee mashinani. view
  • 29 May 2025 in Senate: Hata kikao cha Seneti ambacho tunafanyia hapa wakati huu teknologia inatukubalia kuenda kule Kakamega, tuketi katika county assembly, tuzungumzie maneno ambayo ni yetu kama Seneti na pia tutembee mashinani na tuone vile pesa za wananchi wa Kakamega zinatumika. Tumetembea huko Garissa, tumeenda Wajir, na tumetembea mpaka Kisii na Marsabit. Tukifika pale tunaona ili magavana sasa wanaanza kujishughulisha, wengine wanaanza kutuzungumzia na wengine wanasema tutayafanya hayo mambo. Ningependa kusihi wale ambao mko hapa Seneti, mhakikishe kuwa kama tunatembea na tumeenda haswa kwa jimbo fulani, tuseme hivi juzi tulikuwa kule Machakos, tuhakikishe isizidi mwezi mmoja, tuwe tunaenda kuona yale ambayo tulikubaliana na ... view
  • 29 May 2025 in Senate: Kwa mara ya pili, mimi ninawasihi tujiondoe hapa Nairobi na tutembee mashinani ili tusaidie viongozi wengine pamoja na wananchi. view
  • 28 May 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, thank you for your indulgence. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a statement from the Standing Committee of Justice, Legal Affairs and Human Rights (JLAHRC) on a matter of international concern regarding the criteria used in the designation of polling stations outside our country, Kenya. The Independent Electoral Boundaries Commission (IEBC) by Article 88(4) of the Constitution and Regulation 34 of the Election Voters Registration Regulation, which was done in 2012, is responsible for ensuring continuous registration of Kenyan citizens locally and abroad. In the Statement, the Committee should address the following- (1) The ... view
  • 14 May 2025 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 14 May 2025 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I am happy to see the hon. Cabinet Secretary in this House. My question is, the Kenya Kwanza Government, which he proudly appreciated today has said that all the funds are going to be collapsed, so that we can have either one or two funds, which will run through an outfit he has talked about or any other. Has he come up with strategies on how he will collapse all the funds that exist in our Republic because we believe that many of the duplicating funds are being misused and are confusing? This will ... view
  • 7 May 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I thank you for giving me the opportunity to raise a supplementary question to the CS. Hon. Cabinet Secretary, I welcome you as my CS because we come from the same county, but professionally, I am happy. I am declaring my interest. Given the fact that you realize we are having a challenge on the housing problem within these institutions, has the Ministry done an audit to find out, for example, how many hostels all our TVETs need? I am sure, you know even all our universities have no adequate housing facilities or hostels. What is the ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus