Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 148.

  • 19 Sep 2023 in Senate: Bw. Spika, ningependa kusema asante sana kwa kunipa fursa hii ili nizungumze na kuwakaribisha ndugu zetu ambao wametoka Kaunti ya Kisumu. Leo asubuhi tumekuwa nao kule kwa Kamati ya County Public Accounts view
  • 19 Sep 2023 in Senate: na ningependa kuwaambia ndugu na dada zangu ambao wako hapa kuwa hili ni jumba la heshima. Mkirudi Kisumu muwaambie wananchi wetu kuwa tunashirikiana vilivyo. Kazi yetu ni kuhakikisha tumelinda ugatuzi na kuhakisha kuwa tunarekebisha nchi yetu ili iwe ni nchi ambayo ni yenye heshima na ina maswala nyeti ya kutatua shida za maskini. Asante. view
  • 3 Aug 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise to support the discussion that my colleagues have had. However, we need to have a different approach on how to handle certain matters, including this issue of land. The Committee on Lands, Environment and Natural Resources that is chaired by my brother, Sen. Methu, might want to handle this matter in piece meal form, because there are various matters relating to land, which are questionable and have raised pertinent issues. One of the recommendations I will make to Sen. Methu is to consider the possibility of setting up an Ad Hoc Committee, which ... view
  • 3 Aug 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I think Sen. (Dr.) Khalwale must have had a very bad lunch today. He said that he did better than Sen. Sifuna; I doubt. Mr. Speaker, Sir, with those few remarks, I thank you. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Asante Bw. Spika. Ningependa kuchangia hili jambo ambalo Seneta kutoka kaunti ya Migori amechangia. Ninawasihi ndugu zangu wanaokaa kwenye Kamati ya Ardhi, Mazingira na Maliasili itakayoshughulikia hili jambo la mazingira ya Ziwa Victoria, --- Shida nyingi tulizo nazo sasa, zinahusu kuzingatia oboreshaji wa mazingira na kuhakikisha mito yetu ina maji. Tusipochunga Ziwa Victoria, huenda likaisha maji. Shida ni kwamba tumekua tukifanya haya makosa kwa miaka mingi. Kama sasa, Serikali imeamua kuwa jamaa wakate miti misituni. Wale tunaoishi karibu na hili Ziwa, tunajua kwamba miti ndiyo inaleta mvua. Hii miti ambayo imechungwa na serikali zote tangu nchi yetu ipate uongozi, ndio ... view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Ninakubaliana na Sen. Ogola kwamba hili ni jambo muhimu sana. Sisi kama Maseneta, tuhakikishe kuwa katika majimbo yetu 47, tumeleta sheria na mipangilio ambayo itasaidia kuhakkisha mazingira yetu, haswa ya Ziwa Victoria, yanachungwa na kulindwa kwa manufaa ya vizazi vinavyokuja. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Ninamshukuru Sen. Ogola ninashukuru sana. Hili ni jambo muhimu na lazima tuendelee kulizungumzia, ili tuhakikishe tumepata suluhu la kudumu la kuhifadhi mazingira yetu. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Asante. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Thank you very much, Madam Temporary Speaker for this opportunity to contribute to this very important issue. First, I would like to thank my Chairperson, Sen. Ali Roba, and my Vice Chairperson, Sen. Tabitha Keroche; the two individuals who have been extremely view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus