Paul Simba Arati

Parties & Coalitions

Born

28th November 1981

Email

siara103@yahoo.com

Link

Facebook

Telephone

0722255143

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 373.

  • 31 Jul 2014 in National Assembly: katika jela. Naomba kwamba hili Bunge - na ninaongea Kiswahili kwa sababu nataka watu wangu wanielewe--- Kumekuwa na hali ya taharuki kule Dagoretti. Wanasema Mheshimiwa anataka kuuawa ama yeye ndiye anataka kuuwa mtu. Naomba kuuliza haya maswali kwa sababu kulikuwa na vyombo vingine ambavyo vilishika hayo mambo na vikanunuliwa, lakini nilipata ile clip kuonyesha vile alivyotoa bunduki na ku cock – karibu kunipiga risasi. Ningeuawa siku hiyo singekuwa katika Bunge hili. Nashukuru Mungu kwa sababu siku yangu haikuwa imefika. view
  • 31 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Spika, huyo mtu anasema kwamba yeye amepewa walinzi wawili na hakuna mtu atakayemshitua na anatembea Jiji hili lote. Kwa vile hili ni Bunge la kutengeza sheria, ninaomba lisaidie Wakenya wengine. Mimi nitajitetetea leo katika Bunge hili. Lakini itakuwaje kwa yule ambaye hawezi kujitetea katika Bunge hili ama kwingine? view
  • 31 Jul 2014 in National Assembly: Nimesikia kwamba mfanyabiashara anayeitwa Ashok Shah ametajwa kwingi. Naomba kwamba sheria ichukue mkondo wake. Naomba pia Mkuu wa Mashtaka ya Umma afanye kazi yake kwa sababu tangu tarehe 11 mwezi wa tano mpaka leo, hakuna kitu ambacho kimefanyika. view
  • 31 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Spika, kwa vile inawezekana ikawa leo ni mimi na kesho ni mwingine aliye hapa, naomba Bunge hili lichukue hatua. Nataka kuwaonya wale watangazaji wa NationNewspaper kwamba nitachukua hatua thabiti kuhakikisha kwamba haki imetendeka. view
  • 31 Jul 2014 in National Assembly: Ahsante. view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. If you check the presence of hon. Members, we have no quorum. It is important for us to have quorum because this is a House of order. view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. We do not have numbers. We have no quorum and we cannot proceed with the business of the House if we do not have quorum. Check properly; we are less than the quorum. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. I would want to know from the Leader of the Majority Party--- Indeed, he has indicated clearly that even in Garissa, where he comes from, the numbers are high. In Kisii, he indicated it is around 96 percent; that is where hon. Jimmy Angwenyi comes from. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Of course, I come from Nairobi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus