Paul Simba Arati

Parties & Coalitions

Born

28th November 1981

Email

siara103@yahoo.com

Link

Facebook

Telephone

0722255143

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 373.

  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika, ningependa kuzungumzia maswala muhimu ambayo lazima tukubaliane kwa sababu lazima tufuatilie sheria ambazo zipo kuhakikisha kwamba ndizo za ukweli. Waheshimiwa wamesema vizuri kwamba kuna joto jingi katika nchi yetu. Nataka tuhakikishiane kwamba joto hilo litakuwa jingi sana. Litakuwa jingi hata wengine wenu mtaruka kupitia madirisha mkielekea nje. Joto hili tutahakikisha kwamba tumelihifadhi kwa kutia kuni nyingi mno. Ni tabia mbovu na nia mbaya kwa watu wenye akili ndogo kutaka kuongoza wenye The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: akili kubwa. Hiyo ndiyo shida iliyopo. Kumbe ndiyo maana wenye akili ndogo ukiwapa nafasi kuongoza, wanaharibu nchi. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika, ukiona watu wanapiga kelele basi wana akili ndogo. Aliye na akili kubwa hawezi kupiga kelele ambayo inapigwa sasa hivi. Mimi nataka kusema bila kuogopa, kuna nia mbovu ya kupunguza muda wa kuchapisha Miswada hii. Kwa sababu ya hiyo nia mbaya tunawaambia kwamba: Nyinyi mmeanza lakini chuma ki motoni na tutahakikisha kwamba hamna sababu ya mtu yeyote kutufanyisha biashara mbaya. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Kwa hivyo, ndungu zangu wa Jubilee, tunawaonya mapema tu kwamba hamtutishi, hatutishiki na hatutakubali. Nataka kuwaonya mapema. Sasa ndio mtajua kwamba kiko motoni na hakuna mchezo. Hatuchezi na nyinyi. Sasa tumeanza. Nchi hii lazima tutailinda kuliko mnavyodhania. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Nashukuru, Mhe. Naibu Spika. Nataka niwaambie kwamba ninapoongea lazima nikunje kidole na nifanye hivi kila mahali. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Kunielewa pia ni vigumu. Kuelewa ni kipawa. Mimi nataka nipinge kutoka mwanzo kwamba madhumuni ya kupunguza wakati ni mbovu. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view
  • 6 Apr 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus