10 Nov 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No. 469 of 2021 to the Cabinet Secretary for Education:- (i) What mechanisms has the Ministry put in place to establish the root causes of incidences of arson occurring in public secondary schools in Kaloleni Constituency, such as Ngala Memorial Secondary, Kinarani Secondary School and other affected schools across the country, and to further forestall any new occurrences? (ii) Could the Cabinet Secretary clarify whether there is correlation between the compressed academic calendar and the increased incidents of arson in public secondary schools?
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
(iii) What measures has the Ministry put in place in meeting the cost of renovating the razed down facilities in order to ease the financial burden already incurred by parents and guardians?
view
10 Nov 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker.
view
6 May 2021 in National Assembly:
I, Paul Kahindi Katana, Member of Parliament for Kaloleni, I vote yes. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpongeza Mbunge wa Matuga, Mhe. Kassim Tandaza kwa kuleta Mswada huu wa mabadiliko. Wakati umefika sasa wa Wizara ya Kilimo kufanya utafiti kwa kila mumea katika The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
majimbo yetu ili wajue ni mumea upi waweza kutumika kuzalisha na kuleta mapatao katika maeneo haya na nchi kwa jumla. Kwa muda mrefu, mimea kama kahawa, chai, korosho, na mnazi ilikuwa ikisifika kwa mazao yake lakini, kwa sasa mimea hii imefifia. Tunajua kwamba kilimo ni uti wa mgongo wa nchi hii. Serikali inatakikana kuweka bajeti kubwa kwa Wizara ya Kilimo ili utafiti ufanywe wa kusaidia wakulima wa mimea hii. Kule Pwani, tuko na mimea ya mnazi mkorosho na Bixa. Mimea hii imekua ikileta mapato lakini, tangu viwanda vya mkorosho na Bixa vifungwe, hali ya uchumi wa jimbo la Pwani imerudi ...
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpongeza Mjumbe wa Matuga, Mhe. Kassim Tandaza kwa kuleta Mswada huu wa mabdiliko. Wakati umefika sasa wa Wizara ya Kilimo kufanya utafiti kwa kila mmea katika majimbo yetu ili wajue ni mmea upi waweza kutumika kuzalisha na kuleta mapatao katika maeneo haya na nchi kwa jumla. Kwa muda mrefu, mimea kama kahawa, chai, korosho, na mnazi zilikuwa zikisifika kwa mazao yao. Lakini, kwa sasa mimea hizi zimefifia. Tunajua kwamba kilimo ni uti wa mgongo wa nchi hii. Serikali inatakikana kuweka bajeti kubwa kwa Wizara ya Kilimo ili utafiti ufanywe wa kusaidia wakulima ...
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Bixa, Mkorosho na nazi ziletwe kataika ibara ya kwanza ya mimea ambayo inaweza kutumika kuzalisha na kuleta mapato katika taifa letu. Mnazi peke yake unaweza kuajiri zaidi ya watu alfu kumi. Kwa muda mrefu, watu wamekuwa wakiongea kuhusu bidhaa moja ya mnazi ambayo ni pome peke yake. Mnazi una Zaidi ya bidhaa kumi na mopja. Kwa mfano, fuvu la nazi linaweza kutumika kutengeneza vifungo. Kwa sababu kilimo kimegatuliwa, serikali za kaunti zinaweza kuleta mitambo na kuajiri vijana wengi, ili waweze kujikimu kuliko kuwapa maslasha wafyeke na kusafisha mitaro ya maji-taka. Pesa zinazotumika kule zinaweza kutumika kuwekeza kwa kilimo. Mhe. Naibu ...
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question No. 114/2020 to the Cabinet Secretary for National Treasury and Planning:- (i) Could the Cabinet Secretary explain why funds earmarked for implementation of various projects under the Equalization Fund as contemplated under Article 204(2) of the Constitution have not been disbursed for the last four (4) consecutive financial years that is, 2016/2017 to 2019/2020 yet most projects in schools, health facilities, roads and water provision across the country have stalled? (ii) When will the funds be disbursed to various Ministries and Departments to enable revival of the stalled projects and ...
view
4 Dec 2019 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Ripoti hii. Ukiangalia Ripoti hii na vile hali ilivyo kwa sasa, Wizara ya Uchukuzi imezembea na inachezea maisha ya wananchi ambao wanatumia kivuko cha feri cha Likoni. Tunaweza kulaumu Mkurugenzi na timu yake ambao wako kwa feri, lakini hawana fedha za kufanyia ukarabati feri hizi. Ukiangalia feri ya MV Harambee ambayo ilihusika kwa ajali, MV Nyayo na MV Kilindini, zina umri wa miaka 30. Tunatumia pesa nyingi. Feri moja inatumia zaidi ya Kshs100 milioni kufanyiwa ukarabati.
view