7 Jul 2015 in Senate:
Hon. Senators, the Senate was adjourned by dint of the Motion of Adjournment under Standing Order No.33(1), to discuss a definite matter of urgent national importance which has now been concluded. The Senate, therefore, stands adjourned until tomorrow, Wednesday, 8th July, 2015 at 2.30 p.m. The Senate rose at 6:25 p.m. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
17 Jun 2015 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Kuhusu maombi ya watu wa Mulala ambayo Sen. Mutula Kilozo Jnr. ameleta, ningetaka kusema hakuna siku watu wa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
17 Jun 2015 in Senate:
Bw. Spika, nimesema hivyo kwa sababu najua ni njia gani Seneta anataka kupitia. Tayari tuna shida nyingi za mipaka katika nchi yetu. Ningemuomba mhe. Seneta Mutula Kilonzo Jnir. Kwanza tubuni sheria za mipaka. Hii ni kwa sababu mizozo ya mipaka nchini Kenya imeleta utata sana. Ningependa Serikali Kuu ihakikishe imebuni kamati maalum ambayo itajumuisha watu ambao walikuwa wakuu wa mikoa na maofisa wa tume ya uchaguzi. Pia tunaweza kuwahusisha maofisa wa Tume ya Swazuri ambayo inahusika na kuangalia mambo ya historia kuhusu ugavi wa ardhi hapa nchini. Baada ya hayo, tuwape siku 90 ili waweze kutupa jawabu kuhusu utata huo ...
view