17 Mar 2016 in Senate:
The second statement was directed to the Chairperson of the Committee on National Security and Foreign Relations. Is the Chairperson or any Member of that Committee present in the House?
view
17 Mar 2016 in Senate:
Order, Sen. Chiaba. We understand that he is excited.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Sen. Hassan alitaka kujua ikiwa una thibitisho ama vitu kama vile cheti cha kuonyesha kuwa Gavana alimpa mtu fulani ardhi.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Sisi sote tunajua kuwa wewe ni Seneta wa Lamu. Ili kuthibitisha yale unayosema, unafaa kutuletea ushahidi ama cheti ambacho kitaonyesha kwamba mtu fulani alipewa cheti fulani na Gavana. Hiyo itakuwa thibitisho tosha ya kwamba Gavana alienda kinyume na mkataba. Kama hauna, kulingana na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Je, unazo karatasi unazosema zilipatikana kwa Kamishna wa Kaunti? Kama huna au kama ziko nyumbani, ni lazima kwanza ukubaliane nasi kwamba hujathibitisha hilo kulingana na Sheria zetu. Kwa hivyo, huwezi kumtaja bila thibitisho.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Order, Senator! I will not allow you to go on like that. You should either substantiate or withdraw. You could repeat the same remarks on the day you can substantiate that. As of now, you have to withdraw.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Ninakubaliana na wewe kwamba kikao kingine ambacho ni wiki ijayo, Jumanne, saa 2.30 p.m. uje na thibitisho zote.
view
17 Mar 2016 in Senate:
That is very good advice.
view
17 Mar 2016 in Senate:
Sen. Muthama, nafasi ni yako.
view