16 Feb 2016 in Senate:
Since we do not have the requisite numbers to vote, I call upon the Mover to reply.
view
16 Feb 2016 in Senate:
Since we do not have the requisite numbers to vote, I call upon the Mover to reply.
view
16 Feb 2016 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I beg to move that the Committee of the Whole has considered the HIV/AIDS Prevention and Control (Amendment) Bill The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes
view
16 Feb 2016 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I beg to move that the Committee of the Whole has considered the HIV/AIDS Prevention and Control (Amendment) Bill The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes
view
11 Feb 2016 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Papers on the Table of the Senate today, Thursday 11th February, 2016:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes
view
9 Feb 2016 in Senate:
Asante Bw. Spika. Nakushukuru kwa uongozi ulionyesha mwaka jana. Pia, ninawashukuru wenzangu kwa kuzingatia zile sheria ambazo tulipitisha hapa. Kwa hivyo, hiyo ni uadilifu kazini. Pia, waliweza kufanya kazi vile inatakikana. Wale ambao wanafanya kazi zaidi ni wale wenye wamesemekana wanawania viti vya ugavana. Sifikirii maneno hayo yana ukweli kwa sababu wenyewe wamejitokeza na kusema kwamba hawana nia na wataendelea kutumikia taifa katika Seneti. Labda ni mbinu ya kuchokoza ili wengine wajue vile wakenya watasema. Ninashukuru uongozi wa walio wengi na walio wachache na pia Seneti kwa jumla kwa uadhilifu wao. Miswada ambazo hazikufikiwa mwaka jana, naomba Bw. Spika kwamba ...
view
25 Nov 2015 in Senate:
Bw. Spika, jana Naibu wa Mwenyeketi alitueleza kwamba tutapata arifa hii lakini Mwenyekiti ameomba nafasi nyingine ili ailete wiki ijayo. Kama nilivyo sema familia za wale vijana ambao waliuawa kinyama wana mshtuko sana kwa sababu mpaka leo hawajui Serikali imefikisha wapi uchunguzi. Pia hawajui watapata haki yao lini. Kulingana na vile Mwenyekiti amesema, pia anaingoja arifa hii kutoka kwa Wizara ili aweze kutuelezea. Hata kama ningetaka kumpinga, hana mamlaka mpaka aiongoje arifa. Lakini naomba kwamba ile Wizara inayohusika ihakikishe kwamba wakati tunapouliza---
view
25 Nov 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am the one who sought the statement. We have the Members of the Committee led by the Senate Minority Leader. I know he has the statement. Maybe he can tell us the way he wants us to go. I saw it today and, therefore, I have not even interrogated it. There are quite a number of pages to go through.
view
25 Nov 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, the statement is not yet ready. We were told by the Ministry that most likely, we will get the response by next week on Tuesday.
view