All parliamentary appearances
Entries 1461 to 1470 of 1732.
-
16 May 2007 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Wednesday morning is the only time we can discuss Private Members' Motions. There are Private Members' or Party Motions. I can see on the Order Paper two Party Motions follow each other; one is by Mr. Cheboi and another by Mr. Jimmy Angwenyi. Most of the time we discuss Government business in the House. It is only on Wednesday morning that we can have the opportunity to discuss business from this other side of the House. To my knowledge, FORD(P) is part of the so-called Government of National Unity. So, I ...
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa kuchangia Hoja hii ambayo ni muhimu sana kwetu, kama wananchi wa Africa Mashariki. Bw. Naibu Spika, madhumuni ya kutengeza Shirikisho la Afrika Mashariki ni kama rika ya uhuru wa mataifa haya matatu ya Kenya, Uganda na Tanzania. Nakumbuka sana kuwa nilipokuwa kijana, viongozi walikuwa wakizungumza na kusema kwamba wakipata uhuru, wataunganisha nchi hizi zote tatu ziwe kitu kimoja. Bw. Naibu Spika, ile community ambayo iliundwa huko mwanzoni ilikuja ikasambaratika kwa sababu ya tofauti iliyokuwa baina ya viongozi wa wakati huo. Ilikuwa ni kwa sababu ile
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
iliundwa kutoka juu ikaletwa chini. Baada ya miaka mingi ambapo nchi zote zilikuwa na shida za kibiashara na mawasiliano, baadaye iliamuliwa kwamba tuanze tena upya na ikasemekana kuwa mara hii, tutaanza chini tukielekea juu; yaani kumaanisha kwamba tutajumuika kama wananchi kushauriana ili shirikisho hili likiundwa, litakuwa lenye msingi wa kudumu. Hii ndiyo sababu Katiba hii mpya ilipoandikwa, iliwekwa kuwa ni lazima ipitishwe na bunge za nchi 1358 PARLIAMENTARY DEBATES May 16, 2007 hizi zote. Sisi katika Bunge hili, nakumbuka kwamba tulijadiliana sana kuhusu katiba hii mpya na tukaipitisha yote bila kupingwa. Ndiyo baadaye ikapelekwa, ikawekwa sahihi na ikawa sheria. Bw. ...
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
Hii ndio sababu Afrika Mashariki inakuwa na shida, juu ya ulafi wa hawa ndugu zetu. Hakuna shida nyingine! Maanake, ukichukua huu mseto wetu wa NARC, tulipokwenda kule, ndugu mkubwa alikuwa ni Liberal Democratic Party (LDP). Kati ya Wabunge 126 ambao NARC ilipata, 62 ilikuwa kutoka upande wa LDP. Democratic Party (DP) ilipata viti 38, FORD(K) ikapata viti 20 na National Alliance Party of Kenya (NAK) ikapata viti Sita. Kwa hivyo, yule ndugu mkubwa katika mseto wa NARC ni LDP! Walipokwenda kule kuteua Baraza la Mawaziri, DP ilipata Mawaziri tisa na LDP ikapewa Mawaziri saba. Baadaye, wanasema kuwa NARC imekufa kwa ...
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
Amevuna ambapo hakupanda! Lakini sisi tulienda kama LDP, pamoja. Wewe umewacha chama chako upande huu.
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, namwambia ya kwamba yeye ameenda kula peke yake; hajali maisha ya wenzake---
view
-
16 May 2007 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I do not want it! I do not need information. He will have a chance to speak! Atakuwa na fursa ya kuongea na atasema yote anayopenda kusema. Ninayosema ni kwamba mambo ya uhusiano baina ya Afrika Mashariki ni muhimu zaidi. Ukienda Rwanda ndio utajua umuhimu wa uhusiano huu. Watu wa Rwanda wanalia kuwa wanataka kuingia kwa dhati hapo ndani. Burundi vile vile! Tutatengeneza soko kubwa zaidi. Wakati huu ndio mazungumzo ambayo yanaendelea. Bw. Waziri amenialika niende kwa Kenya Broadcasting Corporation (KBC) nizungumze na Wakenya juu ya umuhimu wa huu uhusiano. Kwa hivyo, tunatengeneza! Tutatengeneza shirikisho kubwa ...
view
-
15 May 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, the AIPCA schools played a very important role in those formative years and her uncle was actually a teacher at Githunguri. That is on record. She is actually misleading the House! Be that as it may, she may not have been too young not to have known. There is no reason why she should now try to feign ignorance on the fact that these schools were taken or that they should returned. Could the Assistant Minister undertake to investigate and ensure that these schools are restored to the rightful owners? 1300 PARLIAMENTARY DEBATES May 15, 2007
view
-
15 May 2007 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. You have said some very kind words to the Leader of Government Business. It is not just the Ministers, the Vice-President is the Leader of Government Business and when the Ministers do not come, it means that the Government, which he is leading here in the House is failing. So, he cannot be excluded! He is part of that failure!
view
-
15 May 2007 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view