1 Jul 2021 in National Assembly:
Hon. Oyoo, Member for Muhoroni, kindly, have the Floor.
view
13 May 2021 in National Assembly:
Asante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza kabisa ni kutoa shukrani zangu kwa Spika wa Bunge hili kwa kumwalika Rais wa nchi jirani, Mhe. Suluhu Hassan, kuja kuhutubia Bunge la Taifa na Bunge la Seneti kwenye kikao cha pamoja. Bi. Naibu Spika wa Muda, nina furaha isiyo na kifani ninapozungumzia Rais Suluhu Hassan. Mhe. Suluhu ameangaza mwanga mkubwa sana katika…
view
13 May 2021 in National Assembly:
Mhe. Bi. Naibu Spika wa Muda, utaniongezea muda wangu kwa sababu amenikatiza kwa njia isiyo halali. Tunahitaji kuthibitisha kama kweli ni maji ama ni kitu kingine. Nilikuwa nasema kwamba niko na furaha sana kama mama kiongozi; mama ambaye ako na watoto wa kike, ambao ndio viongozi wa kesho. Hatua ambayo wamechukua Watanzania, ingawaje uongozi wa Rais Suluhu ulikuja kwa njia ya kipekee ambayo ni ya kusikitisha, akiwa mama kiongozi ambaye anaona mwanga mpya ambao unaangazia uongozi wa kina mama, nina furaha sana. Unaposoma vichwa vya habari kuhusu uhusiano mwema Afrika Mashariki kwenye mambo ya uwekezaji, maendeleo na biashara, tangu Rais ...
view
13 May 2021 in National Assembly:
Uongozi wa Rais Suluhu Hassan unatuonyesha kwamba wakati wa akina mama umefika. Kwa lugha ya Kimombo, tunasema “ We should rise to the occasion. We should wake up andsmell the coffee ” kwa sababu wakati wa kina mama umefika. Nikiangazia nyanja mbali mbali, leo asubuhi tuliweza kumkagua aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya Jaji Mkuu wa Mahakama ya Kenya. Hili ni jambo ambalo halijasikika kihistoria katika nchi hii yetu. Hata katika nyadhifa nyingine nyingi, tunaona nafasi ya kina mama inazidi kupanuka na kuongezeka. Rais Suluhu alizuru nchini Kenya ikiwa ziara yake rasmi ya kwanza tangu achukue hatamu za uongozi nchini Tanzania. Hiyo ...
view
6 May 2021 in National Assembly:
Yes, Hon. Speaker. Can you hear me?
view
6 May 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, I am prompted by the apparent erosion of the gains made by the women of Kenya and the misplaced priority nature of this exercise to vote no.
view
25 Mar 2021 in National Assembly:
Hon. Murugara, kindly have the Floor.
view
25 Mar 2021 in National Assembly:
Order, Hon. Members. Who is the Member facing away from the Speaker and not listening?
view
25 Mar 2021 in National Assembly:
What do you mean? I have a list of requests here, unless this is misleading. Members, are these not requests to debate?
view
25 Mar 2021 in National Assembly:
Hon Sankok, I hear you shouting “put the question”, and your name is the first one.
view