Samuel Gonzi Rai

Aspirant for

Parties & Coalitions

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

raigonzi@yahoo.com

Email

Kinango@parliament.go.ke

Telephone

0721278296

Telephone

0722355499

Samuel Gonzi Rai

Aspirant in the upcoming elections: Aspirant MP

Have information to add to our site about this aspirant?

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 531.

  • 27 Apr 2016 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kuunga mkono Mswada huu na kuiombea kuwa sheria. Sisi ambao tumetoka eneo kame na mahali ambapo maji ni shida, hatukuwahi kuiona kiliniki. Tuliishi kutumia madawa ya kienyeji. Hivi sasa, wanatekinolojia wanaona kwamba ni vyema kuwa na kituo kama hicho ambacho kinaweza kuleta utafiti na kuboresha mambo kama haya ili yaweze kunawiri. Ningependa kulipongeza suala hilo kwa sababu enzi zile za nyuma, tulikuwa tukitegemea mavi ya ndovu kutibu homa. Yalikuwa yakiwekwa kwenye makaa na tungewekwa karibu na ule moshi. Tulinawiri na tumefika pahali ambapo tumefika. Tumeharibiwa masuala mengi na mzungu aliyetutawala pia kiakili. Imefika mahali ... view
  • 27 Apr 2016 in National Assembly: binadamu kusema kwamba amejitoa katika minyororo ya wakoloni, lakini ukoloni unaendelea kumsumbua akilini. Katika Vitabu vya Mwenyezi Mungu, Biblia na Quran, tuliwahi kuambiwa kuwa miti mingi ni dawa. Zama zile, tulipokumbana na nyoka, hatukupelekwa hospitalini kwa sababu nyoka angesemewa na kusikia na sumu ingesimama mahali ilipokuwa. Uwezo huo ulikuweko na labda utafiti wa kuboresha hali hiyo unakosekana. Naunga mkono kwamba kituo hicho kitakapoanzishwa, kipewe pesa kwa sababu kuna vitu viwili. Tupitishe na kiwe kituo cha kufanya utafiti lakini tukikosa kukipa pesa, itakuwa tumejenga nyumba ambayo haina wanadamu ndani. Naunga mkono na kutia sauti kwa wale wengi ambao walikuwa tayari wameunga ... view
  • 27 Apr 2016 in National Assembly: Tunaweza kufanya utafiti wa miti, mbegu na miche yetu, na kujua ni ipi yenye faida na yenye haina faida. Tunaweza kutilia maanani yaliyo na nguvu. Hapo awali, hatukuwa tunaenda hospitali tukipata maradhi kama msukumo wa damu. Tulikuwa tunatumia mbegu na madawa ya kienyeji, na tulikuwa tukipona. Lakini, kutokana na haya makubwa tuliyoletewa na mkoloni, hata mtoto mchanga anaugua saratani kwa sababu ya mafuta tunayotumia. Tunaambiwa kwamba kuna madawa ambayo yanaweza kuregesha saratani chini. Lakini kinachohitajika ni kuboresha mimea ama dawa ili kuhakikisha kwamba tunapata lishe bora. view
  • 27 Apr 2016 in National Assembly: Mswada huu unahitaji kuboreshwa katika Kamati ya Bunge nzima ili kuhakikisha kwamba umeweza kuyalenga yale yote ambayo yanaweza kumnufaisha mwanadamu. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kuunga mkono. view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba kuchukua nafasi hii kukushukuru na kumshukuru aliyeleta Hoja hii. Ni wakati mwafaka kwa sababu baada ya miaka 50 tangu tupate Uhuru, itakuwa ni jambo bora kama tungeanza kuangazia masuala ya afya kuwa muhimu sana katika maisha ya jamii. Kadri tunavyoendelea kumuunga mkono Mhe. Wanga kwa sababu ya Hoja hii, lingekuwa pia wazo bora kama pengine baada ya haya yote ya kuwatuma wataalam kwenda kusomea na kuja kuleta mwelekeo bora, ingekuwa bora kujua baadhi ya wataalam fulani kielimu ili kuhakikisha kwamba masuala ya elimu katika jamii yameaangaziwa. Hii ni kwa sababu punde saratani inapomkumba mwanadamu, ... view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: ya kupitisha Hoja hii, kuifuatilia kwa karibu sana ili kuona kwamba matokeo yake yamesaidia jamii ya Wakenya na kuleta afueni katika maisha ya mwanadamu. Kimekuwa kitu cha kawaida, pengine tumwuulize Mhe. Wanga ilimchukua muda gani kufikiria suala hili na hasa baada ya suala kumalizika pengine aangazie pia kufanya utafiti. Hii “saratani” ya ufisadi ataweza kuitumia tiba gani ama kuiletea Hoja gani kwa sababu pasipo sisi kupata suluhisho la kudumu--- Mara nyingi suala linaloulizwa ni kwamba wakati tunapohitaji msaada wa aina yoyote, huambiwa kwamba Serikali haina pesa. Lakini haijapata jibu la wale watu wanaopoteza pesa za Umma kwa sababu anayekula pesa ... view
  • 10 Jan 2013 in National Assembly: Nashukuru, Bw. Naibu wa Spika, kwa kupata nafasi hii ili niweze kuwashukuru watu wa Kinango kwa kuniweka katika Bunge hili sasa nikitimiza miaka 15. Ninamshukuru Mwenyezi Mungu, nikisema asante kwa yale ambayo niliweza kuyafanya kwa kipindi hicho. Ni imani yangu kwamba niliyafanya kwa uwezo wake Mola. Tunapokwenda kufanya sasa, maombi yangu ni kwamba Wakenya waiombee nchi hii kwa sababu uchaguzi unafuata si wa kawaida; na kwamba yale yatakayoipata umma tarehe 4.3.2023 tumeze kuyapokea kwa mikono miwili tukiwa na imani kwamba yote yatakuwa kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu. Sisi kazi yetu ni kuomba. Analoitikia Mwenyezi Mungu ndilo litakalo kuwa. Kwa hivyo ... view
  • 9 Jan 2013 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to reply. (a) It is true that PDP No. N9/84/18 of 14th August 1984 was approved in favour of Kisumu Union Primary School, Kisumu Municipality. (b) Title for Kisumu Municipality/Block 9/169 in favour of St. Alloys Obby Annam, doing business in the names of Annat Technical Services was issued based on the PDP No. N9/95/6 of 8th February 1995. view
  • 9 Jan 2013 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, in normal practice when a cancellation is supposed to be effected, there always has to be a notice to be given. Since this has already been done by the Commissioner of lands, I believe it is just a question of time. I can assure the hon. Member that within the next 45 days from today, he will have this land to the school. view
  • 8 Jan 2013 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I beg to reply. (a) I am aware that Hamuyundi Primary School in Vihiga County has not acquired a title deed/lease for the parcel of land it occupies. (b) Copies of the application forms were received on 4th January 2013 and a letter of allotment has been issued. The title will be issued upon fulfillment of conditions contained in the letter of allotment. (c) I am aware that many schools in the county do not have titles because they have not applied for the same. In the circumstances, the school management should liaise with the respective local ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus