Shakila Abdalla

Born

1961

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Telephone

0721382856

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 365.

  • 9 Oct 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. My question to the Prime Cabinet Secretary is regarding the dual citizenship. It is clearly enshrined in the Constitution that people are entitled for dual citizenship, but it has proved to be very difficult if a Kenyan from the diaspora is requesting for citizenship here in our country. It is more expensive than getting a citizenship outside in the foreign country. I do not know what measures the Ministry is putting to ensure that our Kenyans who are outside the country are entitled to their constitutional right by acquiring dual citizenship. Also, is there is ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii nami nitoe kauli yangu. Kwanza, nitoe rambi rambi zangu za pole kwa wale vijana waliopoteza maisha yao katika haya maandamano. Pia, niseme pole kwa wale ambao wanaugua mahospitalini. Tunawaombea afueni na warudi kwenye shughuli zao. Nchi yetu inashida tatu. Hizo shida tatu ndizo zinasababisha hii nchi kutotawalika au kuwa na misukosuko. Shida ya kwanza ni ukabila, ya pili ni ufisadi na ya tatu ni ukosefu wa usawa. Hawa Gen Z wamekuja kutuondolea haya mambo matatu kutuonyesha kwamba ikiwa tutaendelea na haya mambo matatu, hapana mahali tutaenda. Wametuonyesha kwamba wao hawana ufisadi wala ukabila. ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: kwa sababu utakuta watu wanakuja nyuma pale Kenya Ports Authority (KPA) The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 9 Jul 2024 in Senate: wanachukuliwa kwamba hii ni choir ya watu mia moja. Wanachukuliwa na kuandikwa view
  • 9 Jul 2024 in Senate: . Ukosefu wa usawa kama huo unafanya vijana kuleta sintofahamu na taharuki. Ile Poti kuhamishwa Mombasa ni njia moja ambayo ilileta unyonge na udhaifu mkubwa Mombasa ikaonekana ni kama maonevu. Ile ndio rasilimali ambayo iko pale Mombasa lakini unakuta ilihamishwa ikapelekwa sehemu zingine ilhali vijana Mombasa wana randaranda kwa ukosevu wa kazi. Ukielekea Witu ambayo ni division, ikifika saa kumi na mbili kunawekwa curfew . Wa upande huu hapiti huku na wa huku hapiti huko. Kwa nini watu kama wale waekewe view
  • 9 Jul 2024 in Senate: ? Kwa sababu wanalinda watu wengine fulani. Mambo kama hayo ya ukosefu wa usawa ndio yanaleta hii shida ya Gen Z kuamka na kuona kwamba ni lazima hii nchi iwe na usalama kwa sababu sote ni Wakenya. Kuhusu ufisadi, utakuta wanaokuwa sacrifice d ni wale small sheep . Anaenda kuishi kwa director na maneja ilhali waziri yuko free . Director na Maneja wanachukuwa view
  • 9 Jul 2024 in Senate: kutoka kwa wakubwa wao na kuambiwa kwamba isipoenda hivyo ni wao wataumia. Wakishachukuwa zile order maneno yanabadilika kukichafuka, inakuwa wao ni sacrificial lamb . Kwa hivyo, hii ufisadi---- Hata hapa Bunge wabunge wanaitwa kwenye Parliamentary Group (PG), kuambiwa lazima huu Mswada mpitishe. Kwa nini mbunge akubali kusema nimepewa milioni mbili kupitisha huu Mswada? Kwa nini Rais atoe milioni mbili ahonge mbunge akijua kuwa huo Mswada ni mzuri? Hayo yote ni ufisadi kutoka juu hadi chini. Ukipeleka kesi Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) unaulizwa unamjuwa nani au huyu unayemleta kwa hii kesi anamjuwa nani. Niko na Ushahidi. Nilipokuwa mwenyekiti wa Child ... view
  • 22 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a statement from the Standing Committee on Roads, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 22 May 2024 in Senate: Transportation and Housing concerning the recent flooding and transportation challenges along the Lamu-Garsen Road at Gamba, Tana River County. In the statement, the committee should- (1) Detail measures the Government has implemented to provide alternative means of transportation, such as the deployment of Kenya Navy rescue boats, in response to the limitations of small private boats, which have proven unsafe, as highlighted by incidents like the Madogo boat accident on the Tana River. (2) Explain the immediate measures the Government has taken to ensure the safety of residents currently using private boats to navigate flooded areas in Gamba. (3) State ... view
  • 30 Apr 2024 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity to support this Bill. We all know that this House is in charge of devolution. Devolution is working. If we continue protecting it jealously, it will even work better for our people. There are some governors misappropriating funds. However, this should not be a reason for us to punish all governors because of one or two mistakes of individual governors. We are supposed oversight county governments. As we do so, we should identify loopholes, issues, challenges, and problems facing county assemblies. Since inauguration of the current Constitution, the budget ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus