Shariff Athman Ali

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 487.

  • 16 Jan 2025 in National Assembly: Asante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi nipate kuchangia. Moja kwa moja, ninaunga mkono. Ninataka niwaambie kwamba na iwe vile ambavyo wamesema kwenye Kamati; siyo kusema tu kwa mdomo, bali waseme kwa vitendo. Kuna wakati Ministry ya Information, Communication and Digital Economy ilitoa nafasi kwa vijana wawili katika kila kaunti, lakini kaunti zingine hazikupewa hizo nafasi. Utaona hata zile zetu mbili zinapewa watu wengine. Kwa hivyo, Waziri akifika hapo, aangalie Kenya yote. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 16 Jan 2025 in National Assembly: Asiache Mkenya yeyote nje. Sisi ni Wakenya pia. Kule kwetu Lamu ni mbali na kidogo tunasahaulika. Kwa hivyo, atuzingatie na atumie ile affirmative action kufikiria na kusaidia watu walio sehemu mbali mbali. Si lazima Lamu pekee, lakini Wakenya wote kwa jumla. Ningependa pia kumwambia Waziri wa Kilimo na Mifugo kwamba masuala ya samaki yako kwenye kilimo pia. Asiangalie tu upande wa kulima mimea pekee, bali pia aangalie mifugo na samaki. Aje na mbinu za kisasa zile ambazo zitatusaidia. Tusibaki kwenye hali ya babu zetu ambao walienda kuvua samaki na kupata pengine kilo ishirini tu. Saa hii, watu wanapoenda kuvua wanapata ... view
  • 16 Jan 2025 in National Assembly: Mbali na hayo, eneo ninaloliwakilisha, Lamu Mashariki, lina pande nyingi zenye manufaa. Kuna upande wa samaki, na upande mwingine ni wakulima wa simsim na view
  • 16 Jan 2025 in National Assembly: . Kuna mfadhili mmoja alisaidia hivi karibuni kwa kutoa laki tano akakipa kikundi cha youth . Hizo laki tano zilitoa watermelon mpaka tukashindwa kuuza. Watermelon zilikuwa nyingi sana. Kuna haja ya Waziri kuingia kule na kuangalia maeneo gani yatatoa mazao gani ili tuweze kusaidia watu wetu. Itakuwa ni kuinua uchumi wa Kenya. view
  • 16 Jan 2025 in National Assembly: Pia, kuna ukulima wa ndimu na mihogo, lakini bado tunategemea mbinu za zamani. Hawatusaidii. Ningependa kumwambia Waziri kwamba sisi ndio tunatoa simsim nzuri. Ajue kwamba akiingia, kazi inamngojea pale mezani. Ajue kwamba kule Lamu Mashariki, simsim iko nyingi, lakini haiuziki kwa sababu ya makosa ya watu wengine. Wao walitumia dawa inaitwa kausha, wakakausha mimea na sasa simsim yetu haiwezi kuuzwa kule uzunguni. Haiwezi kwenda. Kwa hivyo, aje afanye tofauti na hivyo. Wale wanaotumia madawa wasipeleke bidhaa zao, lakini wale ambao hawatumii madawa bidhaa zao ziweze kupelekwa. Simtarajii aseme kwamba nizungumze na kaunti… view
  • 27 Nov 2024 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Nataka niafikiane na wenzangu katika Hoja hii. Nawaunga mkono wale waliochaguliwa. Kusema kweli, Mhe. Jaldesa atakuwa katika mstari wa mbele kwa sababu tunamjua. Alipokuwa WomanRepresentative, alifanya bidii sana katika kuzingatia mambo ya wanawake. Kwa hivyo, anajua kile kinachotakikana. Nataka kuwaomba wale waliochaguliwa wasikae tu kwa ma -boardroom . Watembee. Watuonyeshe kuwa watahakikisha wanawake wamechaguliwa zaidi kama view
  • 27 Nov 2024 in National Assembly: , Members of Parliament na Members of County Assemblies (MCAs). view
  • 27 Nov 2024 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Nov 2024 in National Assembly: Nimemsikia mmoja wa Wabunge wanaume wenzangu akisema kuwa wanaume pia wapewe kipaumbele, hususan boy-child . Sikatai lakini kwa sasa, kulingana na mambo ya view
  • 27 Nov 2024 in National Assembly: , yule ambaye ni mnyonge kidogo ni mwanamke. Kuna maneno tuliyoyasikia kwenye mtandao, na nimemsikia Leader of the Majority view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus