Teddy Ngumbao Mwambire

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 47.

  • 13 Nov 2019 in National Assembly: Asante sana, Bwana Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada ulio mbele ya Bunge. Nina tashwishi kama vile mwenzangu kutoka Eneo Bunge la Kilifi Kaskazini alivyosema kwamba mpango huu unaonekana kuwa mzuri. Uhaba wake ni kwamba zile sehemu ambazo zimeongezewa hazitaweza kuleta ufanisi ama maendeleo kamilifu kama vile tungependelea. Eneo Bunge ninalowakilisha kule Kaunti ya Kilifi ndilo eneo bunge maskini zaidi. Katika mwaka wa 2013, lilinukuliwa kama eneo bunge maskini zaidi hapa Kenya. Hatujaona nukuu nyingine ambayo imelitoa katika sehemu hiyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can ... view
  • 13 Nov 2019 in National Assembly: Nashangaa kwa sababu katika ule muda ambao tumekuwa na hizi Pesa za Usawazishaji wa Maendeleo, hatujapata pesa ambazo zinaweza kutusaidia zaidi. Zimekuwa zikipelekwa katika kaunti ama serikali-gatuzi kuangalia maeneo yale. Kwa sababu kulikuwa hakuna mwelekeo thabiti au maalumu, umefanya maendeleo yaenezwe katika maeneo bunge ambayo hayajaathirika sana. Kuna umuhimu wa kuangalia huu mfumo mpya ili urekebishwe na kuhakikisha kuwa maeneo bunge ambayo yameathirika zaidi yanapata maendeleo yanayoambatana na vile ilivyopendekezwa katika Katiba. Kulingana na vile ambavyo mambo yalivyo kufikia leo, bado tuna matatizo makubwa. Tukiangalia ile miradi ambayo imefadhiliwa na pesa hizi hivi juzi, utaona kuwa maeneo bunge mengi - ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa fursa nitoe mchango wangu. Moja kwa moja, nakupa kongole kwa kuwa wa kwanza kuleta tafsiri ambazo zitakuwa njema zaidi katika Bunge letu. Kwa miaka mingi, kutoka mwaka wa 1974 ambapo Bunge hili lilianza kutumia lugha ya Kiswahili rasmi, Kanuni za Bunge zingali katika lugha ya Kiingereza. Kupitia kwako, wema wako na Kamati ambayo unaongoza na mimi ni mmoja wa Wabunge, tumeweza kuleta tafsiri za Kanuni za Kudumu za Bunge hili. Hii imetupa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: historia nzuri zaidi. Najua itakuwa changamoto kuu lakini naomba tutafute mikakati ili tuwe na tafsiri ya Kanuni za Kudumu za Bunge kwa Kiswahili. view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Speaker. I beg to second the Minority Report, which Hon. Owen Baya has tabled. Looking at the details he gave to the Committee, especially on his academic qualifications, he indicates that he was an assistant manager at Post Bank between 1987 and 1990. If you look at his curriculum vitae, it indicates that he was in secondary school during the same time. This means that he was lying to the Committee. This nominee could not give the right information. That makes him unqualified as per Chapter Six of the Constitution. If you look at the ... view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: Yes, I have seconded. view
  • 23 Jul 2019 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Speaker. I stand to demonstrate my support of this Report. Even though people have been complaining of the nature of doing business during the KANU regime, this Report has very clear information showing that the then Government followed the due process in making sure that all the residents and complainants got land from the forest. In this Report, I went through how the then Provincial Commissioner handled this issue by taking it to the County Council of Kiambu and how the leases were registered then. This is a clear illustration that the landless were being ... view
  • 2 Apr 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No. 138/2019 to the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government: (i) What is the progress made in setting up structures for the newly established Kauma Sub-county headquarters in Kilifi County? (ii) What modalities have been put in place to demarcate boundaries of the two newly created Kauma and Chonyi sub-counties in Kilifi County? view
  • 6 Mar 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I support the petition that has been presented by Hon. Michael Kingi, who is a brother and neighbour. These issues are very rampant in the Coast Region. People have always considered this as a cash cow for looters and grabbers. I believe the Departmental Committee on Lands is going to undertake serious interventions about these issues. They should get to understand why the former Government used to direct individuals in the Coast Region to grab such potential land. view
  • 6 Mar 2019 in National Assembly: This is part and parcel of the historical injustices. We have been suffering for a very long time. This has left people thinking that we do not belong to Kenya. I highly believe that the Departmental Committee on Lands is going to undertake very serious measures. They should come up with recommendations that will be adopted by the House so that the great people of Sabaki and Magarini Constituency can get somewhere to settle. This will also send signals to the other parts of the Coast Region which have the same challenges. view