Wakoli Bifwoli

Full name

Sylvester Wakoli Bifwoli

Born

1952

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P.O. Box 422, Bungoma, Kenya

Email

Bumula@parliament.go.ke

Email

wakalib@yahoo.com

Web

http://www.bifwoliwakoli.com

Telephone

0733 865323

Link

@Bifwoliwakoli1 on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 1324.

  • 24 May 2023 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuchangia yaliyosemwa na Sen. Beth Syengo. view
  • 24 May 2023 in Senate: Mimi kama mmojawapo wa wanachama wa Kamiti ya Ukulima na Uchumi Samawati, tuliweza kuzuru pembe mbalimbali za nchi ya Kenya ambazo zimeweza kihistoria na kitafiti, kudhibitishwa kwamba ni maeneo pamba inawezakuzwa, kuvunwa na vilevile kutengenezwa kwa bidhaa mbalimbali. view
  • 24 May 2023 in Senate: Jambo ambalo lililodhihirika ni kwamba kudorora kwa idara ya pamba nchini ni kwa sababu ya ufisadi, mfumo mbaya wa uongozi na kutogharamika kwa Serikali kuu kwa kuwapa wakulima pembejeo. Ni lazima tuwape wakulima wa pamba taaluma ya kisasa kuhakikisha kwamba Kenya inaenenda kibiashara na kiuchumi na nchi za kimataifa zilizobobea katika upanzi, uvunaji na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali katika bara la Afrika na dunia. view
  • 24 May 2023 in Senate: Katika Kaunti ya Kitui, tuliweza kuzuru kiwanda kilichobuniwa mwaka wa 1983 kinachoongozwa na uzao wa tatu wa familia ya kihindi. Kaunti ya Bungoma tuliweza kuzuru kiwanda cha Malakisi. Na katika Kaunti Busia tulizuru kiwanda cha Mrwanda. Hivi ni viwanda vilivyo na uwezo mkubwa wa kutengeneza bidhaa mbalimbali kama mavazi, vyakula vya mifugo na mafuta kama diesel inayotumika na magari. view
  • 24 May 2023 in Senate: Sisi kama Kamati ya Kilimo na Seneti ni lazima tuekeze katika upanzi wa pamba kama mojawapo ya vitega uchumi ili Kenya iweze kujimudu katika sekta ya kutengeneza mavazi na mambo mbalimbali. view
  • 24 May 2023 in Senate: Tukiangalia mapato ambayo Serikali ilikuwa inapata hapo awali, mapato hayo yamedidimia kwa sababu ya utepetevu. Hii falsafa ama mfumo, sheria na kanuni ambazo Mswada huu unaleta ni kuhakikisha uwajibikaji katika uongozi wa viwanda hivi. view
  • 24 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 May 2023 in Senate: Vile vile, Serikali za kaunti zimepewa majukumu ya kuwapa mbegu na pembejeo wakulima hawa ili maeneo ya Nyanza, yaliyo na kiwanda ama taasisi ya uchunguzi na utafiti wa upanzi wa pamba uweze kuimarishwa maradufu ili Wakenya waendelee kunufaika. view
  • 24 May 2023 in Senate: Kwa hayo machache, Bi. Spika wa Muda, naomba kuunga mkono Mswada wa Mhe. Beth Syengo. view
  • 24 May 2023 in Senate: Asante sana. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus