Wakoli Bifwoli

Full name

Sylvester Wakoli Bifwoli

Born

1952

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P.O. Box 422, Bungoma, Kenya

Email

Bumula@parliament.go.ke

Email

wakalib@yahoo.com

Web

http://www.bifwoliwakoli.com

Telephone

0733 865323

Link

@Bifwoliwakoli1 on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 1336.

  • 24 May 2023 in Senate: Kwa hayo machache, Bi. Spika wa Muda, naomba kuunga mkono Mswada wa Mhe. Beth Syengo. view
  • 24 May 2023 in Senate: Asante sana. view
  • 23 Feb 2023 in Senate: Asante sana, Naibu wa Spika. Ningependa kuchangia yale ambaye mwenzangu Seneta wa Nairobi ametaja kwamba kwa usanjari huo kuhusiana na mkataba wa madaktari na mishahara yao. view
  • 23 Feb 2023 in Senate: Ni kinaya na kejeli kwamba Serikai ina mkataba na wahudumu madaktari kutoka Cuba ambao kwa mwezi mmoja, daktari mmoja anatukamua sisi Wakenya million moja view
  • 23 Feb 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 23 Feb 2023 in Senate: kwa mwezi. Ilhali, madaktari wenye tajriba kama hiyo, humu Kenya, hawana kazi, wanapiga miayo na hawaruhusiwi kutafuta kazi katika nchi za kigeni. Ninaomba hivi, itawezekana kwamba hawa wa madaktari kutoka Cuba warudishwe kwao na pesa wanazolipwa zitumike kuajiri madaktari hapa Kenya? view
  • 23 Feb 2023 in Senate: Hoja ya pili, kuna wale madaktari mashinani, Community Health Volunteers (CHV) ambao wanafanya kazi butu, na nzito kule mashinani. Itawezekana vile vile wawezeshwe kuhusishwa na wapate mishahara ili kunufaisha Wakenya katika nyanja za mashinani? view
  • 23 Feb 2023 in Senate: Asante sana, Naibu wa Spika. view
  • 29 Nov 2012 in National Assembly: I realized that the Deputy Speaker’s attention had been diverted by the hon. Member for Kisumu Town East. Mr. Deputy Speaker, Sir, I was informing the House that upon consultations with the Member for Kilome, we have agreed that the document in question will be availed to me as the DPP states in his communication, that he does not have it and has not had it. After we have availed it to him, I will be in a position to answer the Question in a week’s time. view
  • 13 Sep 2012 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, as I have been reminded several times in this House, we need a consultative process. I will be presenting to the profession and other stakeholders the proposal that we can enact into law a procedure that allows the sort of payment process that the hon. Member has said. If I were to impose this unilaterally, you can be sure I would have a lot of problems. You know that I have insisted on a disciplinary tribunal which is very unpopular with the profession itself. I would like, on this particular issue, to commence a process of ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus