Yusuf Haji

Parties & Coalitions

Full name

Yusuf Mohammed Haji

Born

23rd December 1940

Died

15th February 2021

Post

41842 Nairobi Kenya

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ijara@parliament.go.ke

Telephone

0722709395

Telephone

0711269388

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 1714.

  • 11 Jul 2018 in Senate: Asante, Bw. Spika. Tunahitaji kumuomba Mwenyezi Mungu awasaidie jamii ya wafugaji. Sindhani mazungumuzo katika Seneti yanaweza kutatua zile shida ambazo ziko sehemu hizo. Jana tulikuwa kule Naivasha. Kaunti kumi zinazoitwa Frontier Counties zilikuwa na mkutano wa kutengeneza bloc ya kufanya kazi pamoja. Tulionyeshwa ramani ya Kenya nzima iliyochukuliwa usiku. Tuliona kwamba sehemu zingine zote zimeunganishwa na nguvu za umeme, wakati kaunti zetu kumi ziko gizani. Haya yote yameletwa na viongozi walitutangulia wakati walipotengeneza view
  • 11 Jul 2018 in Senate: inayosema kuwa sehemu ambazo ziko nyuma zibakie nyuma maisha yote. Mpaka leo hakuna Serikali yoyote ambayo imejaribu kuinua maisha ya hawa watu. Kwa hivyo, hali imekuwa ya “nipishe nipate kuishi”. Wakati wa ukoloni wizi wa ng’ombe ulikuwepo lakini haukuwa kama vile ilivyo sasa. Watu wamejihami na silaha. Sehemu ambazo watu walikuwa wakipigana kwa fimbo, siku hizi wanatumia AK-47 au silaha kubwa kuliko hiyo. Nimekuwa nikizungumza na Sen. Sakaja. Tutawaita hawa watu pamoja lakini wajue kwamba sisi sio madaktari. Haya maneno yamezungumzwa tangu tupate uhuru na yanazidi kudorora kila siku. Kuna baadhi ya watu wanaoitwa homeguards, ambao wako na silaha. Hata ... view
  • 11 Jul 2018 in Senate: Bw. Spika, nakushukuru kwa uongozi wako kwa sababu kiongozi lazima awe shupavu. Kila wakati matatizo yanapotokea anafaa kuwa na jawabu. Kwa hakika, haya maneno ni mazito sana kwa sababu watu wanauana kila siku na kuzidisha umasikini. Vile vile wakati Serikali inachukua hatua, watu wanaumia. Nimezungumza na mwenzangu hapa na tutajaribu. Lakini kutokana na experience yangu, maneno hayawezi kutatua matatizo. Kuna pesa zinazotengewa sehemu zilizotengwa kimaendeleo katika Katiba. Siku hizi hata Kibera imeongezwa katika kitengo hicho. Shida ya Kibera ililetwa na binadamu, hasa ukosefu wa mipango kamili. Shida ya wafugaji inatokana na maumbile ya Mungu. Jua ni kali na hakuna barabara ... view
  • 21 Jun 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir, I have a problem with the statement made by Sen. Wetangula while trying to argue on behalf of Sen. (Dr.) Kabaka. This is not a court of law. Therefore, we should--- view
  • 21 Jun 2018 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I join my colleagues in welcoming these students, who have performed exemplarily. I also thank the teachers who made them pass their examinations. I want to tell you, young people, that you have one of the best Senators. On Tuesday, I was travelling on a plane from Garissa, and it could not land at Wilson Airport. It got diverted to Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). I, therefore, had to take a taxi, and it happened that the taxi driver was a Kamba. I asked him about Kamba leaders and finally, I told him that the ... view
  • 21 Jun 2018 in Senate: So, take that message to your people back at home. view
  • 20 Jun 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. This is with regard to the conduct of the Member of Parliament on the Floor. He should withdraw and apologise. view
  • 20 Jun 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I support what he is saying. The Hon. Member who says he is a lawyer should be reading our Standing Orders. A newspaper report is not evidence. He should withdraw and apologise. Kuja hapa! view
  • 20 Jun 2018 in Senate: What are you laughing about? view
  • 20 Jun 2018 in Senate: I never said he is not a lawyer, I said if he is lawyer because I do not know if he is a lawyer. If he is a lawyer, he should be reading the Standing Orders. You people like twisting words. We do not twist words. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus