Mzalendo
Mzalendo
Eye on Kenyan Parliament
Menu
Home
Hansard
Home
»
Politicians
»
Agnes Kavindu Muthama
»
Appearances
County
Machakos County (2022 - 2027)
Parties & Coalitions
Not a member of any parties or coalitions
Agnes Kavindu Muthama
Share on Facebook
Share on Twitter
Correct this page
Post Comment
Parliamentary appearances
Agnes Kavindu Muthama has spoken 392 times in Parliament.
Recent Appearances
Ni vizuiri pia wawe wanapandishwa vyeo kulingana na muda uliowekwa. Pia, Kamati inapoenda kuangalia Kauli hili, wahakikishe pia hawa wazee ...
Senate, 3 Apr 2025
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii nichangie hii kauli iliyoletwa na Sen. Mwaruma. Kauli hii ni muhimu sana kwa ...
Senate, 3 Apr 2025
Naunga mkono kauli hii. Hawa machifu wanapaswa kupewa ulinzi kwa sababu wanafichua njama za watu waovu wanaoweza kuwarudia na kuwaumiza. ...
Senate, 3 Apr 2025
Pia, ningeomba Sen. Mwaruma na Kamati itakayokabidhiwa Taarifa hii waweze kuangalia hata wazee wa nyumba kumi ambao pia hufanya kazi ...
Senate, 3 Apr 2025
Utapata hata polisi kufanya kazi nzuri katika stesheni zao inabidi watumie machifu na manaibu wao na wazee wa nyumba kumi ...
Senate, 3 Apr 2025
(
View all speeches.
)
Comments
(For
newest
comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
Please enable JavaScript to view the
comments powered by Disqus.
comments powered by
Disqus