All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 99.

  • 21 Feb 2017 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. Ningependa kumwambia Mhe. Cheboi kwamba tuna wachekeshaji kama Churchill na Nyambane humu nchini, ambao wanaongea kama “Nyayo”. Mugambi anajulikana Tigania East na huwa anapelekwa kwenye sherehe ambako huongea kama “Nyayo”, Kibaki, Muturi na Raila na watu wanafurahia. Nilimtambulisha kama mtoto wa nyoka kule kwa Mhe. Kiraitu. Alizungumza na watu wakafurahia sana. Alisema kwamba anaweza kumtemea yule anayecheza na Mhe. Kiraitu Murungi mate na afe. Mugambi alikuwa tu anafurahisha watu. Hakukuwa na uchawi wowote. Mhe. Mwiti na Mhe. Cheboi ndio wachawi. view
  • 21 Feb 2017 in National Assembly: Pili, mimi ni Mkristo. view
  • 11 Oct 2016 in National Assembly: Asante kwa kunipatia nafasi hii Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninaunga mkono Mswada huu. Zamani, Serikali ilikuwa inaajiri wafanyakazi 5,000 wa kufunza watoto. Serikali kuu ilipea seriakli za kaunti pesa ili zijenge shule za nasari. Serikali za kaunti zinaajiri walimu kama kumi. Zikiajiri walimu kumi, zinatangaza Kenya nzima au eneo la uwakilishi Bunge kwamba zimejenga shule za nasari na kuajiri walimu wengi. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia madarasa serikali za kaunti zinajengea hawa watoto wadogo, utakuta kwamba mengine hata hayana madirisha. Serikali hizi zinatumia The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version ... view
  • 11 Oct 2016 in National Assembly: Kshs1.3 milioni kwa darasa moja ilhali kupitia Hazina ya Ustawi wa Maeneo Bunge, sisi tunajenga darasa moja tukitumia Kshs500,000. Lazima tutafute njia ya kuwainua watoto wadogo kielimu katika shule. Baadhi ya serikali za kaunti hazielewi kazi zao. Ukiangalia pesa ambazo zinapelekwa mashinani, utakuta kwamba zote zinaingia mifuko yao na hazifanyi kazi yoyote. Hizo pesa hazisaidii Serikali wala mtoto mdogo ambaye haelewi mambo haya. Ninaunga mkono Mswada huu ili rasilimali zote ziende mashinani, Bw. Naibu Spika wa Muda. view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 17 Aug 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninaunga mkono Mswada huu na ninasema asante kwa ndugu yangu mpendwa kwa kunipatia muda wa dakika moja nichangie kidogo. Serikali ya Rais Uhuru Muigai Kenyatta imepeleka mashini katika hospitali nyingi katika kaunti. Imetoka katika Serikali ya Kitaifa na kwenda katika serikali za kaunti. Imekuwa vigumu kwa magavana kuwasaidia madaktari kupandishwa vyeo. Kwa mfano, katika Kaunti ya Meru, mashini za mabilioni ya pesa zilipelekwa huko lakini sasa hivi zimefungiwa katika stoo. Hazitumiki kwa sababu gavana alikuwa anataka kuweka saini makubaliano kwamba yeye ndiye anayeshughulika na mashini hizo. Kama si hivyo anataka Serikali ya Kitaifa ... view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Kwa Hoja ya Nidhamu, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Tukizungumzia suala la maji, kwanza, ningependa kusaidia Wamaasai--- view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: No. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Ndiyo. Tukizungumzia suala la maji, lazima tuangalie maeneo yote ambayo hayana maji, kwa mfano, Tharaka na Isiolo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus