Lydia Haika Mnene Mizighi

Parties & Coalitions

Email

hycalydy@gmail.com

Telephone

0721452391

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 80.

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: Asante Bi. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia hii fursa hata mimi nichangie. Nataka kuanza kwa kupongeza Kamati husika kwa kuleta huu muongozo. Natangulia kwa kusema huu ni muongozo ambao tuliuhitaji kama jana kwa sababu eneo kubwa la kaunti ambayo mimi nawakilisha, Kaunti ya Taita/Taveta, limechukuliwa na mbuga ya Tsavo. Asilimia 62 ya kaunti yetu ni mbuga ya Tsavo. Kwa hivyo, sisi kama wakaazi wa Taita/Taveta tunaiona mbuga hiyo kuwa laana na sio baraka. Sababu ambayo tunaona mbuga hiyo kuwa laana na sio baraka ni kwa sababu wanyama kutoka Mbuga ya Tsavo wametuathiri sana. Watu wengi wameuawa na wanyama. Mashamba ... view
  • 11 Feb 2021 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii. view
  • 11 Feb 2021 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii. view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Shukrani sana, Naibu Spika wa Muda. Nakushukuru kwa kunipa fursa ili niweze kuchangia swala hili ambalo tunaliongea hapa na ni swala kuhusu Hotuba ya Rais. Ninataka kusema ya kwamba Hotuba ya Rais ilikuwa sawa. Kuna mambo mengi ambayo aliyataja na mojawapo ikiwa ni janga hili la Coronavirus. Mimi nataka kusema hivi: Coronavirus ipo, Coronavirus imeuwa, Coronavirus imeumiza na inazidi kuumiza Wakenya. Wakenya wanakufa, madaktari wanakufa, na hata sasa Wabunge na walimu wanakufa. Ni uchungu sana kuona kwamba madaktari ambao tunawategemea kutusaidia wakati huu mgumu hata wao pia wanafariki kwa ajili ya ugonjwa huu. Watu wanaumia mioyo. Watu wanaumia akili. Watu ... view
  • 5 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for also giving me an opportunity to add my voice to this. From the outset, I congratulate the Committee for a good report and a job well-done. Having listened to the moving of the Motion on the Report, I have learnt that most of these nominees are already practising ambassadors. Therefore, it seems that they are already knowledgeable in what they are supposed to do. They are already informed. We should give them a chance to continue developing their careers because they are career diplomats. The electronic version of the Official Hansard Report is for information ... view
  • 5 Nov 2020 in National Assembly: In a special way, I congratulate one Tabu Irina. I know her very well. I know she will represent our country very well in Tokyo. I support the Report. view
  • 3 Nov 2020 in National Assembly: Yes. Hon. Speaker, I thank you. I also want to agree with my colleagues. It is high time for people to start disclosing their status of Covid-19. That is because I have overheard in many conversations where people are saying that they have never seen somebody suffering from Covid-19 and stuff like that. This makes many people not to believe that this thing is there. It is there, it is real and it is killing our people. I am, therefore, in support of people coming out and disclosing their status. Thank you for this opportunity. I support. view
  • 3 Nov 2020 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii fursa na pia mimi niweze kuchangia suala hili ambalo linahusu mambo ya usawa wa jinsia na maendeleo. Tunaongea kuhusu jinsia ya kiume na kike. Tunaongea kuhusu maendeleo, afya, ugavi wa kazi, elimu na masuala mengineyo ya kuboresha maisha ya jamii nzima. Tumeona mara nyingi kina mama wakienda barabarani kuitisha haki zao hapa na pale. Tumeona vijana na vile vile watu wanaoishi na ulemavu wakiwa barabarani wakisema, 'Haki yetu, haki yetu!' Haki hii haifai kuombwa bali ni vile wanajisikia wakiwa wamenyanyasika na hawapati hiyo haki yao. Kwa hivyo, kama Hoja hii itaboresha ... view
  • 15 Oct 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me an opportunity to contribute to this important Bill. I want to support the Bill. It is an important Bill to the entire country, especially the Coast Region and Taita Taveta. We have many cases of historical land injustices and disputes in the entire country, especially Taita Taveta. I want to state that this is a wake-up call and as we continue to discuss this Bill, I hope the amendments will go through so as to help us in solving these disputes and historical injustices. Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 17 Sep 2020 in National Assembly: Yes, Hon. Deputy Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus