Rehema Hassan

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 61 to 71 of 71.

  • 10 Apr 2018 in National Assembly: Nimesimama kusisitiza kwamba tuangalie mambo muhimu kuliko kutafutia rafiki wetu ajira. Yeye ni mmoja lakini watakaoumia ni wananchi wa Kenya ambao ni wengi. view
  • 10 Apr 2018 in National Assembly: Naunga mkono. Asante. view
  • 29 Nov 2017 in National Assembly: Asante sana Naibu Spika wa Muda and Mhe. Melly. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii. Kabla sijazungumzia barabara zetu, ningependa kujiunga na wanawake wenzangu kutoka Tana River kwa sababu ya visa vya ubakaji ambavyo vimezidi. Nikiwa hapa, ningependa kusema, County Commissioner awajibike ili wanaohusika wachukuliwa hatua kwa sababu tumepoteza mtoto kwa sababu ya ubakaji. Mwingine alipata mimba akajiuwa. Mambo haya yamekua zaidi kwa watu wa Tana River. Nikiunga mkono Hoja hii, ningependa kusema kuwa kabla hatujafikiria service lanes mnazozungumzia, barabara yetu kuu ishughulikiwe. Nikiunga mkono Hoja hii ya barabara, ningependa kusema kuwa sisi katika Tana River, kabla hatujafikia hizo service lanes ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono hii Hoja kuhusu uchimbaji wa madini. Hili suala limenigusa kwa sababu sisi kule Tana River tuko na gypsum ambayo inatumika kutengeneza simiti. Wale wahusika ambao wanatengeneza simiti wametajirika kuliko sisi wenyeji. Kuongeza msumari moto kwenye kidonda hao watu wakishachimba yale mawe hawazibi yale mashimo, wanayaacha wazi na kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: hivyo mifugo wetu kule kwa bahati mbaya wakiteleza wanakufa kwa sababu ya maji ambayo yako ndani ya hayo mashimo. Hata wanadamu hufa kwa njia hiyo. Pili naomba tujumuishe katika hii sera sheria kwamba hao matajiri ambao wanachimba yale mawe waweze kuwafanyia wenyeji maendeleo. Hiyo itakuwa kama shukrani ili waweze kufaidika kutokana na ile rasilimali. Hakuna chochote wanatufanyia, ila wao ni kuchimba mawe, kuuza simiti na kuendelea kufungua mitambo huku na kule. Sisi tunazidi kuwa maskini tu. Tukijaribu kuzungumza nao hawaonyeshi huruma na angalau waseme hawa tumewaharibia ardhi yao wacha hata tujenge hospitali ama zahanati ya kuwasaidia wenyeji ndio washukuru. Hawafanyi ... view
  • 10 Oct 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support the Motion. In fact, when I saw this Protocol, I was very happy because laws protect and control people and their assets. Some of us have fallen victims of some situations in countries within the EAC. We have our boys who are drivers and they work in the transport sector in this region. We have had some of our children beaten, cut with pangas and mistreated. In fact, I was asking myself sometime back, how come Kenyans, when people come to our country, we really love and stay with them ... view
  • 10 Oct 2017 in National Assembly: Our children have really suffered. I even have a relative whose hand was cut. It really made me bitter. So, when I saw this, I was very happy. view
  • 10 Oct 2017 in National Assembly: With those few remarks, I beg to support. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this chance to contribute. First of all, I would like to congratulate you for being appointed to The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: sit in the Chairperson’s Panel. I would like to support the Motion for Adjournment. Most of us know that the elections are just around the corner. The voters down there depend on what we will tell them. Hon. Members are the ones who can cause commotion in this country, bearing in mind what we have been seeing in our country. Those people who demonstrate on the streets are led by their Members. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: I would like to urge every one of us to preach peace out there so that we do not put Kenya in trouble. I beg to support the Motion. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus