Aaron Kipkirui Cheruiyot

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

23rd February 1986

Link

@Aaroncheruiyot on Twitter

Senator Aaron Kipkirui Cheruiyot

Senate Majority Leader

All parliamentary appearances

Entries 3701 to 3710 of 5232.

  • 18 May 2021 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I also want to join the rest of my colleagues in supporting this Statement from Sen. Khaniri and speak on behalf of citizens of this Republic who continue to suffer the misadventure of this current administration that strangely believes that you can tax your way into prosperit y. Somehow, by continually increasing taxes, they will fill the budget deficit for their poor economic policies. The unfortunate thing is that as a leadership jointly or cumulatively as Parliament do share in the blame because we are all Members of this House or Parliament (MPs). We ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: This Statement by Sen. Khaniri presents us a very important opportunity. I do not know if there is any Member of the Committee on Energy, Roads and Transport who is in this House. Such are the Statements that one day when the Ministry appears before us, when EPRA, send an invite all Senators should be present. The Zoom meetings are not sufficient. Some of these engagements, without them being physical, people do not understand the plight and pain that Kenyans are facing. Like Sen. Murkomen observed or the Senator that spoke earlier, the best paid public servants like MPs feel ... view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: I hope Sen. (Eng.) Maina, the Chairperson of the Committee on Energy, Roads and Transport of the Senate is either watching or will be notified of the feelings and the views of Members when this Statement came to this House. First, they need to notify us, so that we join in on that meeting on the day that EPRA and Ministry of Energy and Petroleum will come before us, so that we can raise these questions with them and come out of the meeting with a clear roadmap on how this cost can be brought down. This is completely unacceptable. ... view
  • 18 May 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika. Niliposimama kuongea, nilimskia mmoja wa Maseneta akisema nizungumze kwa Lugha ya Kiswahili. Sijui kama alikuwa ameingia akilini mwangu, kwa sababu nilijiandaa leo kutia bidii na kuzungumza kwa Kiswahili. view
  • 18 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 May 2021 in Senate: Wiki iliyopita, rafiki yangu ambaye ni mwanahabari tajika anayefanya kazi katiza Kituo cha Televisheni cha Citizen, Bw. Rashid Abdalla, alinihimza sana. Aliniambia kwamba kila tunapozungumza, mimi hutumia Lugha ya Kiwsahili, lakini mbona hajawahi kuniona nikizungumza katika Kiswahili huku Bungeni ilhali nimesoma? Katika shule ya msingi, nilisoma Lugha ya Kiswahili kwa miaka minane. Baada ya hapo, nilienda shule ya upili na kujifunza Kiswahili miaka minne mengine. Sasa nimekuwa Bungeni karibu miaka saba, lakini sijawahi kuzungumza katika Kiswahili. Nilisema kwamba nitajikaza kuzungumza katika Kiswahili tutakapojadili Hotuba ya Rais Suluhu Hassan. Nitapeana mawazo yangu kuhusu jambo hili ili nijihisi kama niko miongoni mwa ... view
  • 18 May 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, kabla sijaanza ningependa kusema jambo fulani. Bi. Spika wa Muda, yamkini mwaka mmoja umepita tangu Bunge la Kitaifa kukubaliana kuzungumza Kiswahili kila Ijumaa. Iwapo wewe hufuatilia mazungumzo yao katika runinga, mara nyingi, Wabunge huko hujikaza. Sio kwamba ati wanaelewa Kiswahili sana ama lugha yao ni nzuri zaidi lakini ni tabia ambayo watu wanajifunza. Kidogo ninaona hata rafiki zangu ambao katika hali yao, hawaelewi hii lugha sana lakini sasa wamejifunza hadi wanaweza kuzungumza. view
  • 18 May 2021 in Senate: Kwa hivyo, ninatoa changamoto kwa ndungu zangu katika Seneti, kwamba tujikaze. Sio lazima mmoja wetu alete Hoja hapa lakini tutenge siku moja ya kuzungumza Kiswahili. Ninajua sisi sote katika Bunge hili ni Wakenya na Kiswahili ndio lugha ya kwanza tuliyojifunza baada ya lugha ya mama. Ninajua hata kwa wengine, Kiswahili ndio lugha yao ya kwanza. Tujikaze na tutenge siku ya kuzungumza Kiswahili ili tudumishe utamaduni wetu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus