Ababu Namwamba

Full name

Ababu Tawfiq Pius Namwamba

Born

23rd December 1975

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namwambaa@gmail.com

Email

ababumtumwa@yahoo.com

Email

budalangi@parliament.go.ke

Web

www.ababunamwamba.com

Telephone

0728166916

Link

@AbabuNamwamba on Twitter

Ababu Namwamba

Hon. Namwamba is the current Chief Administrative Secretary (CAS), Ministry Foreign Affairs.

All parliamentary appearances

Entries 1111 to 1120 of 1948.

  • 6 Jun 2012 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. This matter is a matter of public notoriety. Everybody knows what is going on. There is something in the Government called “collective responsibility”. Whether this Minister is out of the country or not, the Government does not stop functioning because a Government functionary is on a foreign trip. This is a serious matter and an emergency. This is a matter that the whole country is waiting to hear about. It is a matter touching on aviation, for goodness sake. This is a matter that the Government should be able to ... view
  • 6 Jun 2012 in National Assembly: Shukrani, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninataka kuunga mkono Hoja hii. Kwanza, ningetaka kumshukuru mhe. Pesa kwa kuwasilisha Hoja hii hapa. Ningetaka kuwapongeza waalimu kutoka pembe zote za taifa letu kwa huduma bora ambayo wanatoa kwa taifa hili kwa kuwatunza watoto wetu na kuhakikisha kwamba sisi kama taifa tunaelekea kupata malengo yetu katika Idara ya Elimu. Ni swala la kufedhehesha sana jinsi ambavyo Serikali ya taifa hili inavyoshughulikia maswala ya watumishi wa umma kwa jumla, hasa watumishi wa umma ambao wemestaafu na ambao wamehudumia taifa hili na wakafikia muda wa kustaafu. Si waalimu peke yao, ukitazama Wakenya wengi waliostaafu baada ... view
  • 6 Jun 2012 in National Assembly: Nilishangazwa na Waziri wa Fedha akitangaza ya kwamba fedha hizo zimechelewa kwa sababu kuna jamaa fulani katika Serikali hii alisahau kutia fedha hizo kwenye makadirio ya pesa katika Bajeti ya muda tuliopitisha mwezi wa nne. Ni fedheha hiyo. Utasahau namna gani mpango huu wa elimu ya bure ulianzishwa na Serikali ya Mheshimiwa Rais Kibaki mwaka wa 2003? Kila mwaka tangu mwaka huo; 2003, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2010 na 2011 Serikali imeweka pesa hizo katika makadirio ya Bajeti. Itakuwaje leo utueleze ya kwamba ulisahau kukadiria fedha ambazo umezikadiria na ukazishugulikia kwa muda wa miaka kumi mfululizo? Kwa hivyo, ... view
  • 6 Jun 2012 in National Assembly: Nataka kuunga mkono Hoja hii kwa kusema kwamba fedha hizo si kiwango ambacho tutasema ya kwamba lazima tuende nchi za ugeni kukopa. Ni pesa ambazo tuna uwezo kama taifa kuzilipa. Hiyo ni kuonyesha kwamba Serikali hii haina nia ya kulipa fedha hizo na huo ndio wasiwasi wangu. Hata baada ya kuelewana na mkataba kutiwa sahihi, Serikali imejaribu kukwepa kulipa fedha hizo kupitia mahakamani. Na hata Serikali imefika hadi Mahakama Kuu kujaribu kuzuia malipo hayo ya Kshs17.6 bilioni. Ukilinganisha fedha hizo na fedha zinazofujwa; fedha zinazotumika kwa njia mbovu katika idara mbalimbali za Serikali, hauwezi hata kulinganisha. Ni fedha kidogo sana ... view
  • 6 Jun 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, huu ni ukandamizaji wa haki za kibanadamu wa hali ya juu ambao haustahili kuruhusiwa. Nitarudia ya kwamba Waziri atakapojibu Hoja hii, aanze na kuomba waalimu wa Kenya na Wakenya kwa jumla msamaha kwa kuwakosea heshima na kuwakandamiza jinsi hiyo. view
  • 6 Jun 2012 in National Assembly: Naunga mkono. view
  • 5 Jun 2012 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, the Minister has previously mentioned names of hon. Members of this House in matters related to this very serious offence. I would like to know whether that list of cases includes any Member of this House; either serving or previous or rather, current or past. That is on the list that he has. view
  • 5 Jun 2012 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I wish to seek a Ministerial Statement from the Minister for Education with regard to the looming crisis facing all public primary and secondary schools countrywide following the unprecedented delay in the disbursement of the Free Primary Education (FPE) and Subsidised Secondary Education (SSE) funds. In the Statement, the Minister should address the following:- (i) give reasons for this delay, which is virtually crippling learning in public primary and secondary schools countrywide; (ii) give a timeline, which should not go beyond the next seven days, within which all the public schools should expect to receive these funds; ... view
  • 5 Jun 2012 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, just indulge me to stress the urgency of this Ministerial Statement. Indeed, I filed this request for the Ministerial Statement online while in the middle of an Education Day back in my constituency yesterday. It was out of the outcry from head teachers of both primary and secondary schools that unless this matter is handled by the Ministry as a matter of urgency, we could be witnessing schools closing down across the country. The Kenya National Union of Teachers (KNUT), which represents teachers, has also indicated that if this matter is not treated as an emergency, they ... view
  • 5 Jun 2012 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Did I hear the Assistant Minister indicate that he needs seven days for this? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus