24 Apr 2019 in National Assembly:
Ninataka kumwomba Rais, atusaidie kama wananchi wa Garissa Kaunti, kwa sababu tulimpatia kura mia kwa mia. Nimechaguliwa kama Mbunge wa chama cha KANU. Katika Garissa Kaunti tuna waheshimiwa watatu ambao wamechaguliwa kwa chama cha KANU. Lakini tulichagua Rais mmoja. Kama wewe ulikuwa ni wa Jubilee ama KANU tuliomba Rais Uhuru Kenyatta na akasema tuingie kwa hiyo chama na tumpatie support .
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Kwa hivyo, Jubilee kama walivyosema ni chama cha kuleta umoja, lakini sasa hivi tunasikia mambo mengi ambayo yanatendeka. Hii ndiyo maana sisi kama wafugaji tumeamua kuwa na chama chetu cha wafugaji. Hii ni kwa sababu, tuko na shida kubwa sana hapa nchini. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Asilimia 70 ya watu katika nchi hii ni wafugaji. Kama ni maji, barabara ama usalama hatuna. Pia shule zetu nyingi zimefungwa kule Marsabit, Lamu, Turkana, Samburu na eneo la Maasai. Sisi wafugaji tuna shida.
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Miaka hamsini imepita tangu tupate uhuru kutoka kwa wakoloni, lakini sisi bado tunajihisi kama tuko chini ya ukoloni katika nchi na serikali ambayo tumeunga mkono kwa miaka 50 iliyopita. Kwa hivyo, ninaomba His Excellency Uhuru Kenyatta atuangalie kwa makini na kwa macho ya huruma, kwa sababu sisi kama Wakenya tulikuwa kunapiga kura kabla sijazaliwa mpaka sasa. Tumeunga mkono Serikali kila wakati na tuko nayo kila wakati. Sasa hivi, tunaambiwa tuko na the Leader of the Majority Party ambaye hashughuliki na kazi yake bali fitina. Kwa hivyo, sisi kama waheshimwa kama yeye anafikiria tuko ndani ya mfuko wake. Hatuko ndani ya ...
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Ninataka kusema kuwa leo asubuhi Rais aliongea kuhusu mambo ya dini. Mimi ni Muislamu kama yeye. Tukiingia ndani ya msikiti, tuko na Imam na akisimama tunasimama, akiinama tunainama na akisujudu tuna sujudu. Kwa hivyo, hapa nchini Rais ni Uhuru Kenyatta na ameleta handshake ambayo ni nzuri, na imeleta amani nchini. Kwa hivyo, tunaunga mkono kwamba yule mtu ambaye hataki kumsaidia ama kufanya kazi asiwe ndani ya serikali na atoke nje. Tuko na Rais mmoja hapa na lazima tuwe nyuma yake na tumpatie support . Huwezi kuwa pande hii na mara nyingine pande nyingine. Hatukuelewi. Tunataka wale ambao wanafanya kazi ndani ...
view
12 Mar 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, I wanted to contribute to Motion 13.
view
12 Mar 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I oppose the Motion. As the Member for Fafi in Garissa County, insecurity is on the rise in Garissa. The prevailing security situation in Garissa County has derailed development in the county, particularly Fafi Constituency. People lack basic services like water, which cannot be delivered for fear of being attacked by the Al Shabaab. The Mover of the Motion has just said that the construction of the wall was started in 2015, and he is saying nothing is on the ground so far. The wall is supposed to be from Mandera all the way to Kiunga ...
view
12 Mar 2019 in National Assembly:
corruption cases. We are here to protect Kenyans and taxpayers and we will not allow this to continue. As His Excellency the President of the Republic of Kenya said, we are going to fight corruption. We need to do so from top to bottom. What I see here is another major corruption project which is going to destroy this country. I will not support it, as the Member of Parliament for Fafi, especially when it comes to Somalia. We have no problem with the Somalia Government at all. We have a problem with Al Shabaab . We should not divert ...
view
17 Oct 2018 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I beg to ask the Cabinet Secretary for Energy to provide the following:
view
17 Oct 2018 in National Assembly:
(a) Current tariff model applicable for petroleum products in the country;
view