13 May 2021 in National Assembly:
Asante Naibu Spika wa Muda. Nimefurahi umenipa hii nafasi nichangie mjadala huu kuhusu hotuba ya Rais jirani, Suluhu, alipofanya ziara yake ya kwanza hapa Kenya. Katika dini yetu ya Kiislamu, Mtume, ṣallā -llāhu ʿalayhī wa-sallam, ametuambia kitambo sana kuwa mtu akitaka kwenda peponi, basi iko katikati ya miguu ya mama. Alisema hilo mara tatu. Kwa hivyo, sisi kama Waislamu tumekubali akina mama kuwa viongozi kama alivyo Mama Suluhu. Pia kuna suala la jinsia. Sisi Wabunge wa Taifa la Kenya, hayo masuala ya jinsia yalipofika humu Bungeni hatukufanikiwa kuyapitisha. Ningeomba akina mama wakubali kujipigia kura. Vile najua, tuko na akina mama ...
view
13 May 2021 in National Assembly:
kumaliza ufisadi hapa Kenya, ningeomba Rais wetu, Uhuru Muigai Kenyatta, apatie akina mama kazi kwa kiwango cha sitini kwa mia. Ni kwa sababu akina mama ni watu ambao wako na utu, wanajali masilahi, hawataki vita, na si watu wa kuiba ama kupora nchi. Kama tunataka kupigana na ufisadi, lazima tutambue akina mama katika kuongoza kazi humu nchini. Kuhusu biashara, sisi kama Wakenya lazima tuwe na amani kwanza, vile Rais Uhuru Muigai Kenyatta alitafuta ndugu yake aitwaye Baba na wakafanya Handshake . Walikumbatiana kuleta amani nchini. Lazima pia tuchunge jirani wetu. Tuko na jirani wengi sana. Wa kwanza ni Tanzania. Juzi ...
view
13 May 2021 in National Assembly:
yaani Afrika Mashariki kwa Kiswahili, ndio tunaongoza katika economy ama uchumi. Lazima tuwe mfano bora. Sharti tuwaoneshe mfano bora jirani wetu kama Uganda na Tanzania. Saa hii tuko na Rais Suluhu.
view
6 May 2021 in National Assembly:
On behalf of the people of Garissa County and Fafi Constituency and being a beneficiary of World Bank projects and the national Government, on behalf of our President, Uhuru Muigai Kenyatta, and on behalf of my party stand and my party leader, Gideon Moi, I vote yes.
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me the chance to contribute on the State of the Nation Address by the President. I thank the President for the big heart he has for this country. I thank our President for bringing the country together. I will only talk about the BBI. My concern is about the BBI. As pastoralists, we are Kenyans and we have been marginalised by our Government for the last 57 years. As my senior has spoken, the Equalisation Fund was only seen once since it was started. I also want to say that the BBI ...
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
other things. As Members of Parliament, we are here to help the President, to legislate and support our people on the ground. About Fafi, it is the third largest constituency in this country and it has no roads. One week ago, I supported Administration Police and Special Forces who were stuck in mud for seven days. I had to send a tinga to go and help these soldiers who were stuck in mud. Earlier, my sister spoke about health. This is the only time we are seeing the fruits of our Kenya Government, 57 years down the line. What I ...
view
26 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. This goes to the CS for Energy: (i) Could the Cabinet Secretary confirm the existence of negotiations between Kenya Pipeline Company Limited (KPC) and National Oil Corporation of Kenya (NOCK) regarding sale of the NOCK Nairobi depot? (ii) Could the Cabinet Secretary explain why KPC intends to venture into the retail business in the oil industry and what this portends for NOCK operations? (iii) When will KPC commence operations of the bulk LPG handling project which was set up at Kenya Petroleum Refineries Limited in Mombasa?
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Leo nimeamua kuzungumza Kiswahili. Kwanza ningependa kusema pole kwa watu wangu, Waislamu ama ndugu zangu wa Lamu. Hii ni kwa sababu, leo asubuhi, the Leader of theMajority Party, aliongea vibaya sana kuhusu dada yangu ambaye amechaguliwa na watu wa Lamu.
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Alisema, alipeleka Atwoli Lamu. Sisi ni Waheshimiwa kama yeye aliyechaguliwa Garissa Township. Mimi nimechaguliwa kutoka Fafi Constiuency, na Mhe. wa Lamu, dada yangu amechaguliwa kutoka Kaunti ya Lamu, na ana haki ya kupeleka mtu yoyote anayetaka Lamu. She is also a leader.
view
24 Apr 2019 in National Assembly:
Kwa hivyo, ninaunga mko Mhe. Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba yake ndefu ambayo ilikuwa nzuri sana na ilihusu mambo mengi. Ningependa kuongezea mambo ya security . Nimetoka Fafi Constiuency ambayo ni kubwa sana, iko na 17,000 square kilometres. Tuko na wadi mbili ambazo mtu hawezi kuenda. Ukitaka kufika huko lazima uwe na askari iwe usiku au ujifiche. Tuko na shida kubwa ya usalama katika Garissa Kaunti na Fafi Constituency.
view