13 Dec 2017 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ningetaka kuwakumbusha wenzetu ya kuwa tunaanza kuzungumza kuwa Kenya ni yetu sote. Mambo ni namna hii. Lazima wengine kutoka Pwani wazungumze. Nataka kuwakumbukusha wenzangu hivyo hususan wale kutoka sehemu za mimea ya sukari. Wanasema kule kwetu hakuna sukari lakini iko katika Ramisi.
view
13 Dec 2017 in National Assembly:
Pili, nataka kutoa mfano wa mtu anayetumia kapu lililotengenezwa na miyaa, kuti ama pakacha na kila siku kwenda katika kisima na kujaribu kuchota maji, hayataweza kuchoteka na mwisho, wale wenye kuhitaji yale maji wataja kujigundua. Ndipo tunaingia sisi kama Wapwani. Kila mwaka, sekta hizi zinazidi kupatiwa fedha. Wakulima wanaambiwa hawawezi kupatiwa amana hizi. Katika sekta hii, deni zote zinakaribia takriban Kshs 12-15 billion. Deni ya viwanda vyote vya umma ni Ksh 12 – 15 billion. Ikiwa tutahitaji hivi viwanda vijiendeleze tena, basi itabidi mifuko ya Wakenya itapike tena Ksh 12-15 billion. Nataka kutofautiana na wenzangu. Suluhisho ni kupatia viwanda hivi ...
view
13 Dec 2017 in National Assembly:
Jukumu la Serikali ni kupitisha sheria na kanuni zitakazofaa ili wenye kustahili ambao ni wenye viwanda nchini wapewe nafasi. Kwa mfano, thamani ya kampuni ya Safaricom ni mabilioni ya pesa. Ilipozaliwa ilikuwa inamilikiwa na serikali. Baadaye ilibinafsishwa. Leo nataka tujiulize swali katika Bunge hili na tulijibu kiukweli ndani ya nafsi yetu: lau Safaricom ingekuwa bado ni mali ya umma, kisha tungojee Rais achague mkurugenzi wake, je, tungekuwa tunailipia madeni na kusema wafanyikazi wake walipwe mishahara? Nia na madhumuni yangu ni kuwasihi wenzangu tusiwe tukiangalia na kusema kila siku Serikali ifanye jambo hili ama lile ama itoe amana. Hata sisi kule ...
view
13 Dec 2017 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika.
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
Thank you, very much Hon. Temporary Deputy Chairman. I know many people would take it as a surprise that this Bill that seeks to ensure the welfare of police officers and their families is catered for is coming from me because I have been very critical when it comes to some of the things that the police have been doing, even in this very Parliament. I have been on record The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
that we have good police officers who need to be well compensated. Clause 2 of this Bill seeks to amend Section 2 of the principal Act to provide for the definition of the---
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I beg to move this particular amendment.
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
Thank you. We are dealing with the National Police Service (Amendment) Bill, 2016. A Bill for an Act of Parliament to amend the National Police Service Act, and for connected purposes, enacted by the Parliament of Kenya as follows:
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
This Act may be cited as the National Police Service (Amendment) Act, 2016.
view
5 Apr 2017 in National Assembly:
The National Police Service Act, (in this Act referred to as “the principal Act”), is amended in section 2 by inserting in proper alphabetical sequence the following new definition-
view