Abu Chiaba

Full name

Abu Mohamed Chiaba

Born

1947

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

lamueast@parliament.go.ke

Telephone

0722-410177

Abu Chiaba

Abu Mohamed Chiaba was elected MP for the Lamu East constituency in 1992

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 81.

  • 17 Mar 2016 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nina uthibitisho kamili. Wiki iliyopita, watu walikuwa na maandamano nami niliunga mkono kuwa maandamano hayo yalikuwa ya haki kwa sababu hawafai kupokonywa kitu ambacho walipewa miaka 15 iliyopita. Vile vile, niliwachukuwa na kuwapeleka kwa Kamishna wa Kaunti. Yeye mwenyewe alithibitisha kuwa karatasi zenyewe zilikuwa wakati wa serikali hiyo. view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Nakuheshimu na kukujulisha kuwa nitakuwa hapa miaka karibu 25. Hakuna siku hata moja--- view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Asante, Senate Minority Leader na nitaleta uthibitisho kamili wiki ijayo. La zaidi ni kwamba, Gavana wetu hasaidii kaunti yetu. view
  • 17 Mar 2016 in Senate: wameuliza sehemu ya kujenga kambi yao ili kulinda watu wetu na kudumisha amani katika nchi yetu. Kila mtu anataka amani lakini imepotea siku hizi. Jambo la kushangaza ni kwamba Gavana wetu ameandika barua kukataa ombi hilo kutoka kwa KDF . Nitaleta huo uthibitisho ambao pia umezungumziwa na taifa nzima. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. view
  • 23 Jul 2015 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii niungane pamoja na wenzangu kuunga mkono Hoja iliyoletwa na Sen. Orengo--- view
  • 13 May 2015 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I speak with authority now, as the Chairman. I beg to lay the following Papers on the Table of the Senate today, Wednesday 13th May, 2015:- REPORT OF THE TRANSPORT COMMITTEE ON THE ONGOING CONSTRUCTION OF THE SOUTHERN BYPASS Report of Standing Committee on Roads and Transportation on the inspection visit to the ongoing Southern Bypass road construction in Kikuyu Town. REPORT OF THE TRANSPORT COMMITTEE ON THE STUDY TOUR TO QATAR AND SINGAPORE Report of the study tour to Qatar and Singapore by the Standing Committee on Roads and Transportation from 24th October to 3rd November, ... view

  • 13 May 2015 in Senate: REPORT OF COMMITTEE ON DELEGATED LEGISLATION ON THE PUBLIC FINANCE MANAGEMENT REGULATIONS, 2015 AND LEGAL NOTICE ON THE DECLARATION The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 9 Apr 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niungane na wenzangu kuunga mkono Mswada huu. Mswada huu ni muhimu sana katika Seneti kwa sababu ni mojawapo ya sababu ambazo Katiba yetu imetambua kuwa lazima Seneti iwepo katika ugawaji wa pesa kwa kaunti zetu 47. Bw. Spika wa Muda, nataka kuchukua fursa hii kumpongeza Mwenyekiti wa Kamati hii na wote anaofanya kazi nao kwa kufanya kazi ngumu katika muda mfupi wa wiki mbili. Kazi hii haikuwa rahisi. Kwa furaha kubwa, naunga mkono Mswada huu kwa sababu tumeongeza pesa zaidi kwenda katika serikali zetu za kaunti ili ijulikane na ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus