Abu Chiaba

Full name

Abu Mohamed Chiaba

Born

1947

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

lamueast@parliament.go.ke

Telephone

0722-410177

Abu Chiaba

Abu Mohamed Chiaba was elected MP for the Lamu East constituency in 1992

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 81.

  • 9 Apr 2015 in Senate: zitapewa serikali za kaunti badala ya kwenda kwa Wabunge. Hali kama hiyo ndio inatutia moyo. Twafaa pia tuangalie kwa uangalifu mkubwa kama kuna mahali ambapo panahitaji kurekebishwa au kuletwa amendments hapa ili tufanye kazi hiyo ya kuangalia maslahi ya kaunti zetu na pesa ziende mashinani. Kwa hayo machache, nakushukuru, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa kama hii. view
  • 9 Apr 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii na mimi katika sauti ya kuomba kwa marafiki zangu kama Sen. Juma Boy Juma ambao walikuwa na bahati ya siku za nyuma, kwamba Kaunti ya Lamu ni ile imekuwa marginalized kwa miaka yote. Governor hana mahali pa kukaa na kwa sasa amekodesha mahali. Mimi niko na ushahidi kamili. Nimeenda na Kamati ya Energy ikiongozwa na Sen. Moi, tulimtembelea governor akiwa na sitting room, room moja, na juu ni mahali analala. Jambo la kusikitisha ni county assembly . County assembly ni nyumba ya akina mama ambao ni maskini. Hivi sasa wametoa ilani ... view
  • 1 Apr 2015 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niunge mkono Hotuba ya mhe. Rais. Mhe. Rais Uhuru Kenyatta ameonyesha ushujaa na ujasiri ambao viongozi waliomtangulia hawakuweza kuchukua hatua kama hiyo. Ni wakati wa viongozi wote kushirikiana pamoja na kuunga mkono Hotuba ya Rais na kuomba wale wote waliotajwa kuajibika. Hii ndio njia pekee ya kuonyesha kwamba wao ni viongozi. Ikiwa wamefanya makosa, hawanabudi kuwajibika. Wale wengine ambao wametajwa na hawakufanya makosa, vile vile waonyeshwe ya kwamba sheria itawalinda. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can ... view
  • 4 Mar 2015 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 4 Mar 2015 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Would I be in order to request that you call upon the Mover to reply since this matter has been ventilated upon and the time is running out? view
  • 13 Nov 2014 in Senate: Bw. Naibu Spika, asante sana kunipa nafasi niungane pamoja na wenzangu na vile vile kuchukua nafasi hii kumshukuru Kiongozi wa Wengi, Sen. (Prof.) Kindiki, kwa kuleta Hoja hii ambayo ina umuhimu sana kwa kulinda haki ya kikatiba ya Seneti. Tumevumilia kwa muda mrefu, karibu sheria hamsini zimepitishwa na Nyumba Ndogo, National Assembly, na kutiwa sahihi na Rais, kinyume na Katiba. Ilikuwa ni wajibu wa Spika wa National Assembly kushauriana na ndugu yake, Spika wa Seneti, ili waweze, kufanya chombo ambacho kinaitwa consensus na kama sheria hizo zinaambatana na devolution ama kulinda haki ya county government ama countyassembly. Hivi sasa Katiba ... view
  • 12 Nov 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Hoja hii ni muhimu sana si tu kwa Wapokot peke yao lakini taifa nzima. Tunakumbuka wazi ya kwamba katika Kaunti ya Lamu, kulikuwa na uvamizi, wakora wakaja – hatujui kutoka wapi – wakavamia na kuua watu wasio na hatia. Lakini kilichotokea huko Pokot kilionekana kuwa watu wamevamia mamlaka ya Government . view
  • 12 Nov 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, wamewapiga na kuwaua maafisa wa Serikali ambao wako hapo kuwalinda na kudumisha amani. Hivi sasa Lamu kutokana na yale maafa yaliyotokea, imekuwa karibu miezi mitano. Kumewekwa marufuku ya kutotoka The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 May 2014 in Senate: Asante sana, Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii kuunga mkono Mswada huu ingawa kwa shingo upande. Nasema hivyo kwa sababu pesa hizi Kshs226 bilioni hazikutokana na Seneti hii. Katiba imetupa haki ya kupanga mipangilio ya fedha za kaunti hapa. Takwimu hii tumeletewa na tunaulizwa tuipitishe vile ilivyo bila kuuliza maswali. Ninamuunga mkono The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 May 2014 in Senate: Peke yake! Bw. Naibu Spika, pesa hizi ni za kulipa madeni ya watu ambayo tumeyarithi kutoka kwa County Council ya zamani. Huu ni uonevu--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus