Aden Bare Duale

Parties & Coalitions

Born

15th June 1967

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

hmsk@wananchi.com

Email

adendualle@gmail.com

Link

Facebook

Telephone

0722759866

Link

@HonAdenDuale on Twitter

Aden Bare Duale

Leader of Majority in the National Assembly 2013-2020

All parliamentary appearances

Entries 2281 to 2290 of 17810.

  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, nasimama kuunga mkono Hoja hii. Kama tulivyosikia, ni Ripoti inayohusu Kanuni za Kudumu za Kiswahili. Shukrani na heko zangu kwa Kamati ya Utaratibu na Masharti ya Bunge kwa kuleta Hoja hii. Namshukuru Katibu wa Bunge na Jopo lililotayarisha Kanuni hizi. Hii ni hatua muhimu sana. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, inakubalika katika Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa kuangalia yale umeyaandika ukiongea na wenzako katika Bunge hili. Lakini bahali yake huyu mtu ni kusumbua watu. Bahali yake huyu Mheshimiwa wa Endebess ni mtu wa matata. Mimi nataka nipongeze na nishukuru Katibu wa Bunge la Kitaifa na lile Jopo ambalo lilitayarisha Kanuni hizi. Hii ni hatua muhimu sana katika historia ya Bunge hili na katika historia ya nchi yetu. Tutakumbukwa kama Wabunge waliowezesha kuwepo kwa Kanuni za Kudumu kwa Kiswahili. Na wewe pia utakumbukwa na Bunge la 12 litakumbukwa. Ni mara ya kwanza katika historia. Ningependa kuwaomba ndugu ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, Mbunge wa kule Migori ni mtu wa matata. Naomba unilinde kutokana naye ili niweze kuongea Kiswahili sanifu kwa vile leo nimepewa Kamusi na ndugu Naibu Spika na Mwenye Kiti wa Kamati ambaye inawakilisha wanakamati wengine Bungeni. Mhe. Spika, ni furaha yangu na ninaamini kwamba pia ni furaha yetu sote kama viongozi, kuona wananchi wakishiriki katika mjadala wa uongozi. Huu ndio uwezo na uwajibikaji wetu tukiwa wananchi wazalendo na viongozi.Vile vile, hii itasaidia kustawisha Jumuia ya Afrika Mashariki na Afrika nzima. Kiswahili ni kiungo cha kuwaunganisha Wakenya, Wafrika na mataifa mengine ulimwengu kote. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, Mbunge wa Suna hakusoma Kanuni ya 80 vilivyo na kikamilifu. Kanuni ya 80, Ibara ya (2), inasema kwamba Spika wa Bunge, mara kwa mara, kulingana na jinsi ambayo hoja iko – na kwa vile leo ni siku ya kwanza – anaweza kukubali. Nikimsomea, inasema “Spika anaweza kumruhusu Mbunge kusoma Mchango ikiwa Spika ameridhika kwamba kufanya hivyo ni muhimu katika kufafanua jambo.” Kwa hivyo, namuomba Mbunge wa Suna aridhike kwa sababu anafanya ubaguzi. Naibu wa Spika pia alisoma. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Niacheni nimalize, tafadhalini! view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, wahenga walisema, “Usiache mbachao kwa msala upitao.” Maana yake ni kwamba usiache ule mkeka wa zamani ukitafuta wa Kizungu. Hiyo ni kusema kwamba msala mbachao ni Kiswahili chetu. Kiswahili ni mbachao wetu. Kiswahili ni lugha yetu na ni sharti tukitukuze na kukienzi kama desturi yetu na pia kwa sababu Katiba yetu imetuamurisha kufanya hivyo. Mhe. Spika, watu wengi wako na shida ya lugha ya Kizungu. Hoja hii ya leo itawasaidia. Wale ambao hawajaweza kuongea tangu Bunge la Kenya lilipoanza kwa sababu kuzungumza Kizungu kwao imekuwa shida, leo tunawapatia fursa wasome Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa ili ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Nikimalizia, mimi naunga mkono Hoja hii na nataka Waswahili wapate nafasi ya kuja katika Bunge hili ili wachangie zile Hoja ambazo zitaendelea. Ahsante Mheshimiwa Spika. view
  • 29 Oct 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House: 2019 Budget Review and Outlook Paper for the Financial Year 2020/21 and Medium- Term Budget from the National Treasury and Planning. The Statutory Six Months Preferences and Reservation Report from the Public Procurement Regulatory Authority. Report of the Board of the National Government Constituencies Development Fund on Project Proposals, Approvals, Disbursement Status and Restrictions imposed on Constituency Account for the First Quarter of 2019/20 Financial Year for the period 1st July to 30th September, 2019. Sessional Paper No. 2 of 2019 on National Policy on ... view
  • 29 Oct 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, the Deputy Speaker and Chair of the Liaison Committee is tabling the new version of the Standing Orders which is in Kiswahili. He should say it in Kiswahili, when he is tabling and when he is giving notice. You cannot table Kiswahili matters and you are speaking in English. view
  • 29 Oct 2019 in National Assembly: So, can he tell us what it means in Kiswahili? He should tell us kama ni Kanuni, sijui ya view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus