Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 402.

  • 14 May 2025 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity to ask my question. I start by congratulating the hon. Cabinet Secretary for appearing before this Senate because most of the times, Cabinet Secretaries are called and they do not appear. My question is: What are you going to do about networks in the hospitals because this SHA registration is really a big problem? People are waiting--- view
  • 14 May 2025 in Senate: Bi. Spika wa Muda, ngojea, ninauliza swali sasa hivi. Sasa tutaharibu wakati. Si uwache nimalize. view
  • 14 May 2025 in Senate: Yes, the question is this: Patients wait in the hospitals from morning to evening until the next day only to be told that they cannot be treated because they cannot access SHA. Hon. Cabinet Secretary, you also said that SHA is free. These patients are charged Kshs500 to register in hospitals and--- view
  • 14 May 2025 in Senate: Bi Spika wa Muda, nimeuliza Waziri atafanya nini kuhusu network za SHA kwa sababu hazifanyi kazi. Hiyo sio swali? Si nimeuliza hivyo? view
  • 14 May 2025 in Senate: Na watu wanalipishwa Kshs500 kuregister SHA. view
  • 14 May 2025 in Senate: Madam Temporary Speaker, my question was that registration ya SHA haifanyi kazi. The details that the Hon. Cabinet Secretary anapeanahapa, zingepeanwa kwa ground ili watu wajue watafanya nini wakienda huko. Sio hapa. view
  • 8 May 2025 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity. Asante kwa kunipa hii fursa niweze kuchangia Hoja hii ya bursary. Kuna mambo mengi ambayo yanahusika na bursary. Ukienda kwa nyumba za waheshimiwa kule mashinani, utapata watu wakiwa huko wakingoja kupewa bursaries. Hali hiyo pia hukua katika nyumba ya Members of County Assemblies (MCAs) na governors. Hoja hii ni nzuri lakini tukitaka kuondoa bursaries, lazima tuanze na ofisi za juu kisha tutoe bursaries kwa maofisi za governors na Members of Parliament. Baadaye, hiyo pesa iwekwe pamoja na kupewa Ministry of Education ndiposa elimu iwe bure kuanzia shule ya chekechea hadi ... view
  • 7 May 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, first, I would like to congratulate the Cabinet Secretary because when he is invited by committees, he appears. We invited him and he appeared before the Committee on Education. Cabinet Secretary, keep it up so that we do not speak like you have heard Senators talk about the Cabinet Secretary for the National Treasury and Economic Planning. My question is this, how long does training in VTCs and TVETs take? Is it six months, one year, three years, or four years? We see some students being trained for two to three months and they are out. That ... view
  • 6 May 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili nilete rambirambi zangu na watu wa Machakos County. Ninawapa pole watu wa Homa Bay County kwa kumpoteza mtoto wao, Mhe. Charles Were. Hili jambo linahuzunisha watu wote kulingana na vile lilitokea. Alikuwa kazini siku mzima kisha akapoteza maisha yake alipokuwa akielekea nyumbani. view
  • 6 May 2025 in Senate: Kenya imepoteza. Hii ni kwa sababu hakukuwa akitetea watu wa eneo bunge lake peke bali alikuwa akitetea watu wote wa Kenya. Kwa hivyo, Wakenya wanafaa kulia kwa jumla. Ningependa kurudia kile ambacho Sen. Beth Syengo amesema. Hata mwizi akikufa, tunafaa kujua ya kwamba yuko na wazazi, watoto na watu ambao wanaomboleza. Hao watu huwa na majonzi kwa sababu hawakujua uovu wake. Kwa hivyo, Wakenya wangeshikana pamoja. Kama kuna watu ambao wana sababu zingine zaidi ya hizo, wafuate njia zinazostahili. Sio vyema kuweka mzigo mwingine mzito kwa familia wanapoendelea kuomboleza. Kama taifa, tuko na jukumu la kuajibika. Ninataka kusema hii kwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus