Agnes Zani

Parties & Coalitions

Email

apzani@yahoo.com

Telephone

0738 734526

Link

@agnes_zani on Twitter

Dr. Agnes Zani

From her childhood days, she recalls that any kind of injustice to anyone made her hair stand on end. At the university, Agnes occasionally acted as the chairperson of her department and started the Ford Foundation International Fellowships Alumni Programme, which she has been chairing since. When Kwale residents threatened to boycott the 2013 elections during the infamous “Pwani si Kenya” unrest, she took it upon herself to offer free civic education to her community. Education tops the former lecturer of University of Nairobi main agenda during her term of service.

All parliamentary appearances

Entries 841 to 850 of 1784.

  • 18 Jul 2019 in Senate: Mr. Speaker, Sir, will I be in order to indicate that what Sen. (Prof.) Kamar stated here is her opinion? She was making a contribution, and that is what she perceived to be. When we make contributions, we express our opinions. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Ahsante sana, Bwana “Mzungumzishi” kwa nafasi hii. Mimi pia ningependa kuungana na wewe kuwakaribisha wageni ambao wamefika hapa. Kuna wale ambao wametoka Kajiado, Makueni na pia--- view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Ahsante sana. Kuna kitendo cha kuzungumza na yule mtu ambaye anawapatia wenzake nafasi kuzungumza anaitwa “mzungumzishi”. Kwa hivyo, ninaweza kusema, Bwana Spika na katika hali ya kuunda Lugha ya Kiswahili, ninaweza iendeleza zaidi na kusema “Bwana Mzungumzishi”. Lakini, mtu ambaye anataka kutumia neno kama hili ni lazima azungumze kwa makini ndiposa maneno yasije yakamtatiza. Ukitaka kutumia neno “mzungumzishi”, ni lazima ujue kulitamka vizuri lakini pia unaweza kusema Bwana Spika. Ahsante tena, “Bwana Mzungumzishi”, kwa nafasi hii. Ninakuunga mkono kuwakaribisha wale ambao wamekuja kututembelea ili waone vile tunavyounda sheria katika Bunge hili. Jambo lingine ambalo ningependa kulizungumzia ni shida ambayo wanafunzi ... view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Wanafunzi hawa hupata matatizo wakienda katika shule hizi. Hii ni kwa sababu wenzao huwa wanawaweka katika hali ya kutatanisha na hali ya kuongeza hofu katika mwili na akili zao. Hii ni jambo ambalo limeendelea kwa muda mrefu. Kwa hivyo, ni muhimu ya kwamba tulizungumzie. Itakuwa vizuri kama tunaweza kutafuta mwalimu maalum ambaye kazi yake itakuwa ni--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Asante sana. Kwanza, ningependa kusema kwamba katika Bunge la Kumi na Moja, swala hili liliulizwa. Sen. Kembi-Gitura alikuwa ameketi kwenye Kiti hicho. Tulilizungumzia na kukubali hili neno. Pili, katika hali ya kuendeleza lugha na falsafa ya lugha, ni muhimu kwamba lugha inaendelea kukuwa. Kama kuna wakati tunaweza kutumia jina lingine badala ya ‘Spika,’ ningefurahi sana, haswa sisi watu wa Pwani kama wakuza wa Lugha ya Kiswahili. Leo ningeskia wenzangu wakipiga makofi wakisema: “Leo umeleta neno jipya ambalo litatusaidia katika lugha.” Kuna wanafalsafa kama Prof. Abdul Aziz na Prof. Mberia kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi ambao tutazungumza nao. Sitaki kuwa na ... view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika. nilikuita “Bwana Mzungumzishi” kama vile nilimuita Sen. Kembi-Gitura “mzungumzishi” na hakuna ambaye aliniambia hivyo. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Unaningojea niombe msamaha kwa kutumia jina la kifalsafa? Je, huo ndio msalaba mnaniwekea katika Seneti leo, mimi mwana wa Zakaria Zani, mwalimu wa Kiswahili na mwandishi? Tafadhali, poleni sana. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Asante sana, “Bwana Mzungumzishi”. Nimeangalia katika view
  • 17 Jul 2019 in Senate: ambayo nimepewa na Sen. Faki. Jina hilo lipo. Sitasema unisamehe kwa sababu wenzangu hawakujua kwamba jina hili liko. Vile nilisema, tunaweza kuliacha jambo hili kwa leo na kwa heshima ya Waswahili ambao wamefanya bidii kukuza lugha hii ya Kiswahili. Najua nikizumgumza vile nilivyosema ninakumbuka na nikifikiria haya, tuseme tuweke, tuache watu waangalie na watuelezee vile tutakavyoenda mbele. Hatuwezi kusema tusitumie neno ambalo limetumika. Asante Bw. Spika. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nimesema huu leo ni msalaba na nitaubeba. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus