Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 14.

  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Asante, Bw. Spika. Naunga mkono kupitishwa kwa huu Mswada kwa sababu hii pesa ni zile zinalipwa na akina mama na wazee na watoto wale hawana chochote. Inalipwa katika hospitali zetu za kaunti na majimbo zingine zile ndogo kule mashinani. Hizi pesa saa zingine zinalipwa kila mwezi halafu inaenda kwa Exchequer kwa Serikali Kuu. Naunga mkono hizi pesa ziwe zikisimamiwa na usimamizi wa hospitali zetu mashinani. Kama ni kwa mwezi mmoja, hizo pesa ziwe zikikaa kule ndio ziweze kuwasaidia watu wetu kwa sababu zikiwa zimeifadhiwa na Serikali kuu haziwezi kutolewa na kutumika kwa haraka. Pesa hizi zinaweza kuhifadhiwa na hospital kwa ... view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Kwa hivyo, naunga mkono pesa hizo ziwe zikisaidia hospitali mashinani. Ni lazima tuzingatie mambo ya accountability ili pesa hizo ziweze kusaidia mwananchi aliye chini. Pia naunga mkono pendekezo kwamba madereva na wafanyikazi wengine wapate hizo pesa, angalau kikombe cha chai ili wao pia wajisikie kuwa wako serikalini za kaunti. Utapata wengine wanasubiri miezi mitano kabla ya kupata marupurupu yoyote. Daktari analipwa ndio atibu mgonjwa, lakini msaidizi wake hapati marupurupu yoyote. Naunga mkono Mswada huu nikiwa kwa hii kaunti hapa, nikiwa Embu County--- view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Ndio! Tuko na majimbo 47. Kwa hivyo, Kaunti ya Embu inaunga mkono Mswada huu. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. I beg to move the following Motion - THAT pursuant to Standing Order No.37, the Senate do now adjourn to discuss a definite matter of urgent national importance, namely: the systematic breach of peace, destruction of public and private property and livelihoods through repeated incitement of members of the Republic to civil disobedience and illegal public demonstrations and protest that climaxed with the sense of lawlessness witnessed in several parts of the country on 7th and 12th July, 2023. General elections are held every five years in Kenya. Any election must have winners and losers. ... view
  • 18 Jul 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Many businesses were closed. The demonstrators even went to the extent of breaking the Express Way, whose contractor needs to be paid about Kshs700 million. There is now another rumour of a big maandamano tomorrow. My question is whether it is possible for the Azimio Coalition and our Government of Kenya Kwanza to have dialogue and see the way forward. Secondly, my humble request to the Senate is if they can constitute a team of commissioners; Senators who can help find the way forward. They will also see to it that a number of those who have been mentioned, including ... view
  • 4 May 2023 in Senate: Bw. Spika, naunga mkono Sen. Okenyuri kwa kuangazia mambo ya walimu. Mtu anayefaa kuheshimika Kenya hii ni mwalimu, kwa sababu anafanya kazi yote. Walimu vile vile hufunza kuanzia madarasa ya chekechea hadi shule za upili. Shule zinapofungwa, walimu husimamia na kusahihisha mitihani angalau wapate marupurupu. Vile vile, husimamia uchaguzi. Ni jambo la kushtusha kwamba Serikali ya Kenya haijawalipa. Tunaomba iwalipe kwa sababu wamekuwa wakinyanyaswa kwa kupelekwa shule za mbali. Wakati shule zinapofungwa, wao huwacha watoto wao ili kuenda kusahihisha mitihani lakini bado hawapati hela zao ambazo ni kidogo. Bw. Spika, naunga mkono uchunguzi ufanywe kujua kwa nini hawalipwa. Asante. view
  • 4 May 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Roads, Transportation and Housing regarding the construction of a bridge on Tana River at Kiromboko-crossing in Kiambeere Ward, Embu County, connecting to Kitui County. In the Statement, the Committee should: - (1) Apprise the Senate on the current state of road infrastructure connecting Embu County and Kitui County on the southern-most boundary of Embu County along River Tana. (2) State whether there is any feasibility study that has been done by relevant Government agencies on the socio-economic benefits of ... view
  • 4 May 2023 in Senate: (3) State when the Government will provide funds to construct this motorable bridge at Kiromboko Crossing to prevent further loss of lives. (4) Spell out interim measures put in place to improve transportation and connectivity between Embu and Kitui counties on the Tana River in order for the residents to continue with their livelihoods without endangering their lives. view
  • 2 May 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources regarding the destruction of crops by elephants from the Mwea National Reserve in Embu County. In the Statement, the Committee should- (1) Explain the measures being taken to contain elephants that have been roaming within the farmlands of Machang'a Village near Kamburu Dam in Mavuria Ward, Mbeere South Constituency, Embu County. (2) State whether there will be any compensation for farmers around the reserves neighbouring Makima and Mavuria Wards whose crops have been destroyed as ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus