All parliamentary appearances
Entries 81 to 90 of 232.
-
13 Oct 2015 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Mavazi yangu isiwe ni ya Hoja leo. Mimi ni Mwislamu na ni kawaida kwa Mwislamu, na haya ni mavazi ambayo kawaida na hata katika sheria yetu ya Bunge inaruhusu mtu awe na kanzu na koti. Pengine tasbihi ambayo nimebeba mkononi huenda ikawa mtu akaona kwamba ni geni. Hii ni kanzu wala sio tai. Kwa hivyo, mtu ajue kwamba kanzu inaruhusiwa Bungeni na iko katika maandiko.
view
-
30 Jul 2015 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa kuchangia. Ni muhimu kupitisha Hoja hii. Hata hivyo, si vyema ikiwa tutapitisha Hoja muhimu kama hii inayohusu pesa kwenda mashinani ilhali zikifika huko zinatumika vibaya kwa sababu hakuna njia ya kuifuatilia. Sisi, Maseneta, tunaonekana kama mazuzu na watu wasioelewa wanalofanya. Bw. Spika, juzi, kule mashinani katika bunge---
view
-
30 Jul 2015 in Senate:
Bw. Spika, namaanisha kwamba Maseneta wanaonekana kama watu ambao hawajielewi.
view
-
30 Jul 2015 in Senate:
Bw. Spika, jukumu letu kama Maseneta ni kutunga sheria. Wabunge katika Bunge la Kitaifa pia wanajukumu hilo hilo. Lakini wao wamejitengea mamilioni ya pesa ilhali hawatumii pesa hizo kufanya maendeleo. Hivi majuzi nilichunguza vile pesa hizo zinatumika na nikagundua jina la mtu mmoja ambaye inasemekana kwamba anasomea katika vyuo vikuu vitatu--- Tukipitisha Hoja hii, ningetaka magavana na Wabunge wajue kwamba Seneti ni kiungo muhimu katika ugatuzi na ni lazima Maseneta wapate pesa za kuwawezesha kuchunguza vile pesa zinazotengewa Kaunti zinatumika. Asante, Bw. Spika.
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, the Statement that I sought last week---
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, on 10th July, 2015, I rose to seek a statement on two issues; that is, the Constituencies Development Fund (CDF) and Uwezo Fund. Whereas I apologise for my absence yesterday, the statement was issued yesterday in my absence, contrary to the traditions and practices of this House. It was supposed to be deferred because the person who sought it was absent. Once again, I request the Chairperson of the Committee on Finance, Commerce and Budget to issue the statement, so that I can interrogate his answer.
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, on a point of order. This is not a committee issue. It is an issue concerning Tana River County. I am the Senator representing Tana River County. Therefore, I am the one to whom the answer should be directed to.
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, let me clarify on the point that I have made in this House.
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I have a point of order. Please, allow me.
view
-
23 Jul 2015 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. In this Senate, I am neither in Jubilee nor CORD. However, I can decide where to be. Today, I want to assure you that I am a CORD Member. I want to weaken the other side. I am still mobilizing to get some Members from Jubilee to come to this side.
view