All parliamentary appearances
Entries 211 to 220 of 232.
-
24 Jul 2013 in Senate:
Ningependa kuunga mkono.
view
-
24 Jul 2013 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise to second this Motion. As it has been said, floods which are not natural have really affected us down there in Tana River and other counties, like Garissa, along the Tana River. Actually, these floods that are manmade and deliberate have caused disaster. Our crops which we grow during the rainy season have been destroyed whenever this water is released without notice by KenGen. Mr. Deputy Speaker, Sir, we appeal to the Government to, at least, compensate the farmers along Tana River. Tana itself is a delta and that is where we live. So, ...
view
-
18 Jul 2013 in Senate:
Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Mimi nikiwa Seneta wa Tana River sina pingamizi yoyote juu ya Hoja hii. Naunga mkono Hoja hii kwa sababu mambo ya siku moja ni tofauti na ya siku nyingine. Hata madakika huwa yanatofautiana. Mhe. Seneta aliyezungumza mbele yangu alisema siku moja haiwezi kuleta tofauti yoyote. Siku moja inaweza kuleta mabadaliko. Hata dakika moja inaweza kuleta mabadiliko. Wale ambao wameseme siku moja ipunguzwe katika Hoja hii walilenga kuonyesha wakati una umuhimu wake. Upishi haufai kuendelea kila wakati. Tusiwe tunapinga mambo kila siku. Siku moja ikipunguzwa, tunaweza kuitumia kufanya mambo mengine muhimu. Ni lazima tuwe ...
view
-
17 Jul 2013 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. I am glad to stand before you and to contribute to this fantastic Bill. It revolves around a lot of controversies and many good things. We had a problem with it and today, we accept it. Mine is to support it since it is a starting point. This Bill is very controversial. We all know devolution is something that is gradual. We cannot say that we will change everything today and turn around the counties at once. So, we need to accept it. I, therefore, accept it and support the Bill. The Committee on Finance, ...
view
-
16 Jul 2013 in Senate:
Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa fursa hii ili niweze kuunga mkono Hoja hii. Hoja hii ni ya muhimu sana. Hoja hii inaangazia matatizo ambayo yanatukumba kwa njia tofauti tofauti kutoka kaunti zetu. Maswala ya vijana ni ya kusikitisha sana. Asilimia 70 ya vijana haswa kule ninakotoka ni watu wa kurandaranda na ni watu ambao hawana kazi. Hawa ni watu ambao wamebaki nyuma kimaisha. Kwa hivyo, ni lazima Serikali iangazie swala hili na iwe na njia mwafaka inayowezesha kuleta maisha yao sawa na wengine. Bw. Spika, Kipengele cha 27 cha Katiba kinasema kwamba kila mmoja ana haki sawa na mwingine. Kwa ...
view
-
4 Jul 2013 in Senate:
Madam Temporary Speaker, thank you for this opportunity. As the first Senator for Tana River County, I think I am better placed to come and discuss this important issue which affects counties. Tana River has not been represented over the years. Today is when the people of Tana River feel that they are represented. All these projects have been initiated by people who are not mindful of others. The project does not favour the people living downstream. Tana River which I represent which is being used as a buffer zone is the most affected place in Kenya. Tana River has ...
view
-
4 Jul 2013 in Senate:
Madam Temporary Speaker, we need to correct what went wrong before. We have suffered in the hands of greedy leaders who are not mindful of the people of Kenya and Tana River which is very special to me. We should be compensated fully by KenGen. These are the people who have caused suffering among the people of Tana River. People died, crops and livestock were lost because of their project. They just The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
3 Jul 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa nafasi ili niunge mkono Hoja hii. Hoja hii ni muhimu sana, hasa kwa watu kama sisi ambao wanatoka mashinani. Sisi huwa tunapata shida sana kwa sababu watu wetu wanapotoka huko na kuja kutafuta haki yao, wengi huja kutueleza shida zao. Wengine wanachukua miaka mingi kuja Nairobi lakini wanarudi bila usaidizi wowote. Kuna haja ya Seneti hii kuwa na mbinu za kuwalipia watu mashinani wanapostaafu. Hii ni kwa sababu watu wanapotoka Kaunti ya Tana River na kufika hapa, wanahitaji malazi na nauli ya usafiri. Mambo hayo yote yanahitaji pesa. Huyu mtu The electronic version ...
view
-
3 Jul 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, hiyo ni sawa. Nikisema mwaka mmoja, namaanisha mtoto katika hali ya uchanga anaweza kuwa na tarakilishi. Kwa nini hapa Kenya hatuna mfumo wa kuweka faili za watu ambao wamestaafu na wanaohitaji manufaa mengine? Tunatakiwa kuwa na mbinu katika mashinani za kuwalipa watu wanapostaafu. Mtu akistaafu leo, kesho mambo yake yanafaa kuwa sawa kwa sababu watu ambao wanatuajiri wanajua ni nani amefikisha umri wa kustaafu. Haya yote ni mambo ambayo Wakenya wote wanafaa kuwaajibika. Wale wanaoajiriwa maofisini wanafaa kuajibika. Kuna wakati ambapo tulikuwa na maofisa ambao walikuwa hawajulikani lakini walikuwa wakilipwa na pia walikuwa katika orodha ya ...
view
-
26 Jun 2013 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa hii fursa. Ningependa kuchangia Hoja hii kwa kusema kuwa sisi watu wa mashinani mara nyingi huwa tunapata matatizo kutoka sehemu zingine. Kwa mfano, makampuni ambayo yako kwingine humwaga uchafu ambao unatuletea sisi shida. Jambo hili la pollution linaambatana na mambo mengine kama uharibifu wa misitu, unaofanywa na makampuni au mashirika ya Serikali. Mashirika haya huwa hayaangalii mathara wanayosababisha kwa watu. Bw. Naibu Spika, sisi watu wa Tana River tunapata mathara kila wakati kutokana na miradi ya kiholela inayoanzishwa na mashirika ya Serikali naya kibinafsi. Jambo hilo hutuletea Malaria na magonjwa mengine. Hivi majuzi nilikuwa ...
view