Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 612.

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Ilivyo hali kwa sasa, jambo la kuchunguza hali ya ukame liko katika sheria za halmashauri hiyo. Lakini kuna pendekezo la washikadau na wafadhili ambao wanataka rasilimali wanazotoa zisimamiwe na PFM Act. Huu ndio msukumo mkubwa, ili wafadhili wapate hakikisho kwamba usimamizi wa rasilimali zao uko chini ya PFM Act badala ya sheria ya Halmashauri ya Taifa ya Kuchunguza Hali ya Ukame. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Kwa uchache, hili ndilo lengo au maudhui ya pendekezo la leo. Yangu kama mwenyekiti, tumechukua maoni na Wakenya wengi wameunga mkono. view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Kabla sijakaa chini, ningependa kusema kwamba ninatoka Tana River na upande wa Tana North, kuna ukame mkubwa. Upande wa Garsen South na Lamu kunanyesha mvua. Wengi wa wafugaji wamelazimika, kwa sababu ya ukame, watoke Tana North, Bura an Galole waelekee upande wa Lamu na Garsen. Idadi ya wafugaji walioteremka huko ni kubwa. Kufuatia jambo hili kukawa na mzozo baina ya wenye mashamba na wenye mifugo. Kwa bahati mbaya, walinda usalama, badala ya kutatua mzozo uliotokea na kuchukua hatua, wanachoma nyumba za wafugaji na kupiga watu kiholela bila kuangalia haki na sheria ya taifa. Nalaani vikali tendo hilo! Taifa na watunzi ... view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Kwa hayo machache, naunga mkono Mswada huu na ninakushukuru pia Mheshimiwa Naibu Spika. Ahsante. view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, Kipengele cha saba cha Katiba ya Kenya na Kanuni za Kudumu 77 zinatambua Kiswahili kama lugha ya taifa. Tunaomba Bunge litafsiri Kanuni za Kudumu kwa Kiswahili maana wanaozungumza Kiswahili wanatatizika kutafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Hii ni kwa sababu Bunge limetunyima fursa. Naunga mkono mpaka Bunge litakapotupatia kanuni kamili. view

  • 25 Jul 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the House: view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus