Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 601 to 612 of 612.

  • 6 Jun 2006 in National Assembly: Bw. Spika, Waziri atafanya nini iwapo DPM itakataa kuongeza machifu mishahara yao? view
  • 3 May 2006 in National Assembly: asked the Minister for Roads and Public Works what steps the Government is taking to improve the condition of Bura Airstrip. view
  • 3 May 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I thank the Minister for the answer. It is true something has been done. This being the only airstrip in a constituency of 16,000 square kilometres could he consider making it an all-weather airstrip? view
  • 3 May 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to thank the Assistant Minister. view
  • 26 Apr 2006 in National Assembly: asked the Minister for Education:- (a) whether he is aware that the roof of Mulanjo Primary School in Bura Constituency was blown off by wind in January, 2006; and, (b) what measures he is taking to repair the school and make it operational. view
  • 26 Apr 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, jibu la Waziri Msaidizi lina kasoro fulani. Ni kama Waziri Msaidizi alijua kwamba kutakuwepo na upepo mkali mwaka wa 2005 ndio maana akatenga Kshs10,000. Ningetaka kumwuliza kama Kshs15,000 zinaweza kuyajenga upya madarasa hayo. Kuna madarasa manne lakini matatu tayari yamebomoka. Ni darasa moja tu ambalo limebaki. Je, Kshs18,000 zatosha kuyajenga upya madarasa hayo matatu yaliyobomoka? Tunafahamu kwamba Kshs1 milioni zitatumika kujenga madarasa mapya wala si kuyarekebisha yale ambayo yalibomolewa na upepo. view
  • 26 Apr 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, ni ajabu kuwa Waziri Msaidizi alijua kuwa katika mwaka wa 2004 kungekuwa na upepo mkali ambao ungebomoa madarasa matatu katika shule hiyo. Hata hivyo, hawakutenga pesa za kutosha kuyajenga upya madarasa hayo. Madarasa matatu yalibomolewa lakini wao walitenga Kshs18,000. Nimemuuliza kama pesa hizo zitatosha, lakini hakunijibu. Ingawa kuna pesa za dharura katika kitita cha CDF, tulitumia pesa hizo kuwapelekea maji watu wetu wakati wa kiangazi. Wizara ina sera gani maalum ya kutekeleza dharura kama hii hapa nchini? Waziri Msaidizi amesema kuwa wananchi waliyajenga upya madarasa hayo. Ukweli ni kwamba madarasa hayo hayajajengwa mpaka leo. Kwa nini analipotosha ... view
  • 25 Apr 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, on 30th, March, 2006, you ordered the Minister for Livestock and Fisheries Development to table some documents. view
  • 25 Apr 2006 in National Assembly: It is not in the Order Paper, Mr. Speaker, Sir! It might get lost! view
  • 25 Apr 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, could you advise us? What do we do next? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to ask the Minister for Livestock and Fisheries Development the following Question by Private Notice. (a) Could the Minister confirm whether the Kenya Meat Commission (KMC) loan owed to March 29, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 145 National Bank of Kenya of Kshs2,719,332,670.00 has been paid? (b) If the answer to "a" above is in the affirmative, could he table documents to support the same and justify the payment? (c) If not, could he explain why the funds had been allocated in the budget for FY2004/2005 under Vote D19, Head 640, Item 318? view
  • 28 Mar 2006 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika. Ninachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetuweka hai na kutujalia fursa ya kujadiliana juu ya Hotuba ya Rais, ambayo ninaamini inakejeli na kuchezea shere werevu wa Wakenya. Bw. Naibu Spika, nimesema mara nyingi kwamba mtu hupewa cheo na Mwenyezi Mungu na kunyang'anywa cheo hicho na Mwenyezi Mungu. Watu wengi husahau kwamba cheo ni amana kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Wao hutumia vyeo vyao kuwadhulumu wanyonge. Ninasema hivyo kwa sababu ya ule uvamizi uliotekelezwa na maofisa wa usalama katika maeneo ya makazi ya Kipkurere katika Wilaya ya Uasin Gishu. Katika kisa hicho, maofisa wa usalama waliovalia sare zao ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus