Beatrice Kwamboka Makori

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 261.

  • 4 May 2021 in Senate: Bi Naibu Spika, Mswada huu utafaidi kila mtu. Hata kiongozi wa Upinzani atapata nafasi katika Bunge la Kitaifa. Akiwa huko ataweza pia kuwaliklisha wale ambao wanamfuata. view
  • 4 May 2021 in Senate: Katika viti vya Wabunge Wateule, katika Bunge la Kaunti na Bunge la Kitaifa, ikifika wakati wa uchaguzi, akina mama wanaofaa kujaza viti hivyo kuna wale Maseneta, Wabunge wa Kitaifia au Kaunti walioteuliwa na vyama vyao wanao pitisha wakati unao faa. Katika Mswada huu pame wekwa kwamba mtu anaweza kuteuliwa kwa muda wa miaka 10 pekee ili aweze kuachia wengine kuteuliwa. Bi Naibu Spika, kuna fedha za kusawazisha au Equalization Fund, kwa wale ambao hawata pata nafasi ya kuongezewa maeneo bunge, wata faidika kwa pesa hizo ili waweze kujiendeleza. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. ... view
  • 4 May 2021 in Senate: Kuna Bodi ya kusaidia vijana inayoundwa. Hiyo ni ya maana kwa kuwa watafuatilia kila kaunti kuangalia kama pesa hiyo inatumika inavyotakikana. Ukienda katika kaunti nyingi, utapata kuwa kuna zile kazi ambazo vijana wanafaa kufanya ambazo hawapewi ila zinapewa watu wengine. Nina himiza wananchi wa Kenya tushikane tupitishe Mswada huu kwa sababu hakuna kitu ambacho kilicho kizuri asilimia mia moja. Kila kitu kina kasoro. Huu ni mwanzo. Tutapitisha na wakati mwingine wengine watakuja na kubadilisha. Nina himiza akina mama wote nchi nzima kuwa Mswada huu ni wetu. Tuungane tuupitishe kwa sababu utatusaidia na kusaidia wenzetu watakaokuja baadaye. view
  • 4 May 2021 in Senate: Asante Bi. NaibuSpika. Ninaunga mkono Mswada huu mia kwa mia. view
  • 30 Mar 2021 in Senate: Mr. Speaker, Sir, thank you. Let me comment on this issue of Wajir County. It is very sad that we are hearing that there are frustrations from the residents of Wajir County concerning the mismanagement of funds. It is very sad. Right now, we know what is happening in this country. We have COVID-19 at hand. The county is not realizing on how to manage the funds and use them in appropriate manner. When it comes to the gender parity, we have been told there are only six females and we have 23 males as the chief officers. It is ... view
  • 30 Mar 2021 in Senate: Asante Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono huu mjadala wa kusitishwa kwa Bunge mpaka mwezi ujao. Kusema kweli, kuna janga kubwa la COVID-19 na ni wakati mwafaka kwa Bunge kuenda likizo kidogo. Wakati ambapo tutakuwa kwenye likizo ni wakati wa kamati, sana sana Kamati ya Afya ambayo mimi ninashiriki hapo, tuweze kuangalia hizi view
  • 30 Mar 2021 in Senate: ambazo zimekuja wakati huu kuona kama wananchi wa Kenya wanaweza kupata hizi vaccines kwa urahisi. view
  • 30 Mar 2021 in Senate: Bi Spika wa Muda, ni vizuri pia tujifunze Kiswahili. Lazima tujivunie Kiswahili. Kwa wakati huo, hizi kaunti ambazo Rais wa nchi amesema kuwa ziwe kwenye view
  • 30 Mar 2021 in Senate: ni wakati muhimu tuangalie maslahi ya wafanyi biashara wadogo; wawache kuchukua ushuru kwa hao wafanyikazi kwa sababu kazi zao zinafungwa mapema si kama kitambo. Bi. Spika wa Muda, ni wakati ambapo kamati zetu ambazo zitakuwa zikihudumu, kama Kamati ya Afya, wakati ambapo tunamwalika Waziri, ni lazima Waziri aelewe kuwa wakati huu ni wakati wa dharura. Lazima Wananchi washughulikiwe. Kwa hivyo, Waziri lazima afike mbele ya Kamati kujibu maswali ambazo wataulizwa. Wakati tunaenda mashinani, ningehimiza kuwa sisi Wabunge tuongee na wananchi wetu na tuwaeleze manufaa ya kupata chanjo hii. Pia, tukatiza mikutano ambayo tuko nayo katika maofisi. Bi. Spika wa Muda, ... view
  • 30 Mar 2021 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise to second this Motion on the approval of the Senators to serve in Sessional Committees of CPAIC and Delegated Legislation. We need these Committees to have their meetings as soon as possible. This is the right time to meet because things must move on. I know the Members who have been nominated to serve in these Committees are up to the task and they will execute their mandate diligently. Mr. Temporary Speaker, Sir, I second this Motion. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus