Beatrice Kwamboka Makori

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 261.

  • 12 Oct 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninashukuru kiongozi wetu Sen. Dullo kwa kuleta Taarifa hii kwa wakati mwafaka. Wakati huu Wakenya wanahimizwa wajisajili kama wapiga kura. Ukweli wa mambo ni kuwa tumechelewa. Wizara ambayo inatakiwa kufanya mambo hayo inafaa kujuwa kuwa watoto wakiwa katika kidato cha nne huwa wamefikia miaka 18. Ni jukumu la Wizara kwenda katika shule na kuwasajili ili wachukuwe vitambulisho kwa sababu kila mtu ana haki. Bila kitambilisho mtu hawezi kuajiriwa kazi au kupiga kura. Wakati huu Serikali inawaambia wananchi waende wajisajili kuchukua kura. Ni jambo la kushangaza. Juzi nilienda katika ofisi ya chifu. Nilipata kuwa machifu ndio ... view
  • 14 Sep 2021 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.48(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations regarding the enforcement of the nationwide curfew in containment of the COVID-19 pandemic. In the Statement, the Committee should- (1) Explain why there is discriminatory enforcement of the curfew hours in the country in general and within Nairobi City County, in particular where restaurants in Nairobi West Area are forced to close by 7.00 p.m., while the other facilities in Eastlands operate until 9.00 p.m. (2) State the challenges faced by security officers in enforcement ... view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa hii ambayo imeletwa na Seneta wa Kaunti ya Laikipia. Kwanza, ninamshukuru kwa kuleta Taarifa hii kwenye Seneti. view

  • 9 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Kwa kweli, ni uchungu kuona mambo yanayoendelea huko Kaunti ya Laikipia. Kuna makabiliano, huku watu na hata watoto wanakufa. view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Kwa kweli, ni uchungu kuona mambo yanayoendelea huko Kaunti ya Laikipia. Kuna makabiliano, huku watu na hata watoto wanakufa. view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, Taarifa? view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, Taarifa? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus