9 Sep 2021 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, kabla ya kuzungumza Kiswahili, lazima tuangalie tafsiri ya maneno kwa Kamusi.
view

Ni uchungu kuona yanayoendelea Kaunti ya Laikipia wakati huu wa janga la COVID-19. Shule zimefungwa na sijui watoto wetu wataenda wapi. Kuna wanafunzi wa darasa la Nane na Kidato cha Nne ambao wanatakiwa kufanya mitihani ya kitaifa. Hata hayo madarasa na vidato vingine vina mtihani. Ni uchungu kuona jinsi akina mama wanalia. Ukitazama televisheni wakati wowote wa Habari, mchana na hata usiku, kila mara ni kilio.

Ninaomba Serikali ya Jubilee iharakishe kuwa inawasaidia watu wanaoumia kule Kaunti ya Laikipia. Maafisa wa polisi ambao wanatakiwa kusuluhisha jambo hili waende huko haraka ile waangalie nini kinachoendelea. Tunanyosha tu kidole kwa Waziri na wengineo lakini huu sio wakati wa kulaumiana. Tunapaswa kuwa na mkutano na kuona kwamba askari wamepelekwa huko ili waokoe maisha ya Wakenya. Iwapo kuna upungufu wa askari, ni vyema tuelezwe ili hali hii ishughulikiwe haraka ipasavyo kwa sababu mwaka ujao ni mwaka wa siasa na uchaguzi. Mambo yanayoendelea huko sio mazuri. Bi. Spika wa Muda, niko katika Kamati ya Usalama wa Nchi, Ulinzi na Mawasiliano ya ...

8 Sep 2021 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I thank the Chair of the Committee on Finance and Budget for coming up with the County Governments Grant Bill (2021). This is a straightforward Bill. It touches on accountability and the framework. Counties normally receive grants but misuse them. It is high time that the Chair of the Committee on Finance and Budget came up with this framework to see how these grants can reach counties. The people should be aware how much the grant is, and there must be participation with the county assemblies, so that the public knows how the funds ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.