All parliamentary appearances
Entries 891 to 900 of 9741.
-
8 May 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
8 May 2024 in Senate:
I conclude by telling my brother for the very final time, if we must remind you, be reminded that, for you to become the professional you are, it matched your Intelligence Quotient (IQ). For those doctors who you are belittling, to become doctors, it matched their IQ. For your information, the IQ of a doctor is above 140 if you know what that means.
view
-
8 May 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda. Wiki iliyopita nilikuwa nachangia Hoja hii, lakini kwa bahati mbaya nikapitwa na wakati. Ningependa kuendelea na mchango wangu na kukumbusha ndugu zetu kutoka Pwani kwamba sisi tunawaunga mkono kwenye Hoja hii muhimu, pia kwenye kuimarisha sera ya kandanda nchini. Watu wa Pwani wamechangia kwenye umaarufu wa soka nchini. Nilikuwa napitia orodha ya majina ya wale ambao walifana sana katika uchezaji wa mpira. Nimepata kwamba kwa wale 50 bora nchini, sita wametoka Pwani. Wameongozwa na aliyekuwa mchezaji wa AFC Leopards, Mohamed Abass. Pia tulikuwa na kipa wa kimataifa Bw. Mohamed Magogo aliyekuwa wa Pwani. Bw. Amram ...
view
-
8 May 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
8 May 2024 in Senate:
Gavana wa Mombasa sasa hivi ambaye ni rafiki wangu wa karibu, ikiwa atatenga pesa na kujenga uwanja huu atakuwa amemfunika Gavana Joho kwa sababu Gavana Joho amebaki uchi kutokana ya maneno ya Mombasa Stadium.
view
-
8 May 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda---
view
-
8 May 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunionyesha njia. Kwa kupitia tu, ningependa kumkumbusha Seneta wa Migori kwamba kwenye County PublicAccounts Committee, tayari ripoti ya Mhasibu Mkuu imeonyesha ya kwamba katika ile enzi ya uongozi ya aliyekuwa Gavana wa Mombasa, hii ni ripoti ya nyumba hii---
view
-
8 May 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ningeomba ndugu yangu, Sen. Oketch Gicheru, akumbuke Kanuni za Seneti hii kuwa kabla ripoti ya Muhasibu Mkuu iletwe kwa kamati huwa inawasilishwa hapa. It is tabled halafu ndio inaenda. Hati yoyote ikishawakilishwa hapa inamaanisha sasa iko katika rekodi ya hii Seneti. Kwa hivyo, kila Seneta ako huru kuzungumzia mambo ambayo iko katika hiyo ripoti. Hii ndio maana nilikuwa nasema tena kwa heshima kwamba ndugu yangu Gavana wa sasa, Abdulswamad, ikiwa ataanzisha ujenzi huu, atakuwa amemufunika uchi ndugu yetu Mhe. Joho. Hii ni kwa sababu, hundi ya Kshs500 milioni aliyotumia kwa huo uwanja wa michezo haijulikani mahali ...
view
-
8 May 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
8 May 2024 in Senate:
Kwa hayo machache ninaunga mkono.
view