18 May 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, we look forward to the cooperation of your office and the Secretariat, so that we can make it a success. I look forward to the end of this year when the International OGP Conference will be held in South Korea. With your guidance and blessings, we shall be part of it and transform the Senate into a world class institution.
view
18 May 2021 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
18 May 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker I would not want to interrupt the train of thought of Sen. (Dr.) Musuruve, but she should know on a point of information that according to state official page, the breaking of fast known as iftar was done at State House Nairobi and not in Mombasa.
view
18 May 2021 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, ninatoa shukrani zangu kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia hoja hii kwa siku ya leo. Mwanzo kabisa namshukuru Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Suluhu Hassan, kwa kufanya ziara rasmi nchini Kenya na katika Bunge la Kitaifa na Seneti. Nilikuwa na fursa nadra na adimu sana kuwa baadhi ya viongozi ambao walihudhuria na kusikiliza Hotuba ambayo alitoa katika Bunge la Kitaifa. Tulijua kwamba kiongozi wa awamu ya sita Mhe. Suluhu Hassan ni kiongozi ambaye ameleta undugu na urafiki hasa katika mataifa yetu mawili ya Tanzania na Kenya. Bi. Spika wa ...
view
18 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 May 2021 in Senate:
ofisi za Serikali zinasaidia wawekezaji wapate fursa ama wasisumbuliwe. Kama ni kupata stakabadhi ama leseni fulani ili waweze kufanya biashara basi wapewe nafasi hiyo. Hii ni kwa sababu hatuwezi kutegemea nchi za ng’ambo kama Uchina, Marekani na Uingereza. Lazima tuanze katika nchi za Afrika. Nafikiri ni muhimu kama tunaweza kufanya hivyo. Bi. Spika wa Muda, akaweza kutaja mamilioni. Inaonekana Wakenya wanafaidika zaidi hasa tunapoweza kufanya uwekezaji katika taifa la Tanzania. Nataka niwasihi kwa sababu hata alitoa changamoto kwamba wafanyibiashara wanachukua hatua muhimu zaidi kuliko serikali zetu. Nafikiri serikali, na alituomba kama Bunge la Taifa na Seneti, tuweke sheria ambazo zitasaidia ...
view
18 May 2021 in Senate:
Ndio wahakikishe tuwe na utaratibu na tusiwe na msongamano wa magari ambao wanasafirisha bidhaa zao kutoka nchi ya Kenya kuelekea Tanzania ama kutoka Tanzania wakielekea Kenya. Hiyo ni muhimu. Alisema tutakuwa na huduma za pamoja mpakani. Ninamshukuru Rais Suluhu kwa sababu hiyo ndio imekuwa ikileta joto la kibiashara kati ya mataifa haya mawili. Bi. Spika wa Muda, tuko na ukanda wa pwani ama ile inaitwa coastal corridor. Ni muhimu kuhakikisha wale wanaoushughulika mpakani kama maafisa wa ushuru na uhamiaji wahakikishe wamefanya njia iwe rahisi. Jambo la tatu ni Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwanza, tuna Bunge la Afrika Masharika. Bunge la ...
view
18 May 2021 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, jambo la nne ni ujenzi wa miundo misingi. Sen. Sakaja alitaja barabara ambazo zitakuwa miundo misingi mzuri sana na zitarahisisha biashara kwa wale ambao wanabeba bidhaa zao kutoka Kenya kwenda Tanzania. Miundo msingi ikiwekwa vizuri, itarahisisha kufanya biashara na kusafirisha watu na bidhaa. Ni muhumu sana.
view
18 May 2021 in Senate:
Kuna jambo la umeme wa kilo volti mia nne. Dunia haiwezi kuendelea bila umeme, ni muhimu sana. Namshukuru Rais Suluhu Hassan kwa kugusia kuwa nchi zetu zipige hatua. Mojawapo ya Ajenda Nne ya Serikali ya Kenya ni kushughulikia viwanda.
view
18 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view