2 May 2023 in Senate:
Bw. Spika, sijui hiyo “State capture” ni gani. Tusilete tu hapa Statements pekee yake. Wiki mbili zilizopita, Waziri wa Barabara alisema Kenya Airways ni private company. Kwa hivyo, hawataulizwa maswali katika Bunge. Kama hatuwezi kuwauliza maswali, basi wacha tumuambie Mhe. Raila aende afanye maandamano asimamishe hao watu kazi. Kama sisi tumeshindwa kusimamisha hawa watu kazi, basi tutumie yule mtu ambaye ataweza kuwasimamisha. Kisheria, sisi hatuwezi kuwasimamisha kwa sababu contract imesainiwa ya miaka 25. Kama hatutoki, basi twende tuvunje hizo contract zao. Bw. Spika, nikiunga Sen. Cherarkey mkono, ningependa tusiongee mambo ya kusema ati tunafanya hii na hakuna kitu kinachofanyika. Statement ...
view
27 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I have two Statements.
view
26 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, and the CS. I have only one question on land in Moyale County. There is a big chunk of land called Ubalticha, which is being disputed between three communities; the Borana, Gabra and Burji. I wanted to know from the CS if he is aware of this dispute and when he is going to solve it. I thank you.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Kiswahili chao ni kigumu kwa vile nimetoka Kaunti ya Marsabit. Nitazungumza kwa Kiswahili na wasinikosoe kwa sababu nimetoka Kaunti ya Marsabit.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Naunga mkono Kauli ya Sen. Miraj. Wiki mbili zilizopita nilikuwa nimesafiri hadi Addis Ababa, Ethiopia. Ethiopia Airlines wamepata faida ya USD$950 millioni, dollari za Amerika.
view
25 Apr 2023 in Senate:
ya Ethiopia imeunda billioni mbili dollari, pesa ya Amerika.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika. Dollar ni kiingereza na dollari ni Kiswahili sanifu. Vile mambo iko hapa Kenya, sijui tumerogwa na nani. Ukizuru nchi nyingine, watu wote wanafanya kazi yao vizuri. Ukiangalia hapa nchini, kampuni kama zile za sukari na Telcom ziko chini. Kampuni ya Telcom Ethiopia imetengeneza billioni mbili, ata Safaricom wamefika huko na wakashindwa kupenya kwenye soko la Ethiopia kwa sababu ile
view
25 Apr 2023 in Senate:
ya Ethiopia iko na nguvu zaidi. Kutaka ndege za kampuni za nje kutua Mombasa na viwanja vingine vya ndege nchini haitasaidia Kenya Airways. Kenya Airways imefilisika na kukwisha hata wakifanya nini hawataendelea. Jambo nzuri ambalo wanawezafanya kusaidia Kenya Airways---
view
20 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity. In support of this Bill, I will highlight something that is bothering the Northern part of Kenya. Speaking about Marsabit, during the colonial era, Marsabit and the Northern part of Kenya were called the Northern Frontier District (NFD), who were denied all developments. Then, when we got Independence, we were called the “marginalized area” during Mzee Kenyatta’s time. During President Moi, President Kibaki and President Uhuru’s time, we were still called “marginalized”. The current Government is still using that name, but we are yet to see. We have four more years ...
view
19 Apr 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I request that you defer my Statement for about one hour because it is not ready.
view