2 May 2023 in Senate:
wa Ethiopia Airlines . Ninataka watu wasikize. Mheshimiwa alisema walipata bilioni mbili lakini ninataka kurekebisha hiyo. Walipata faida ya US$937 bilioni. Bw. Spika, ni vizuri watu wajue ni nini inaendelea. Mwenyekiti wa Ethiopia Airlines aliniambia Ethiopia Airlines iko na branches kadhaa. Iko na branch inaitwa;
view
2 May 2023 in Senate:
, ambayo ni yao pekee yao, iko Ethiopian Cargo andLogistics ambayo wanatengeneza pesa na Ethiopia Ground Services, hiyo ni kando. Pia kuna Air Ethiopia Maintainance and Repairs. Karibu ndege zote za Africa, hata za Kenya, zinafanyiwa repair Ethiopia. Ukiangalia vizuri, kwa masomo, hakuna mtu ameshinda Kenya katika Afrika. Lakini, wakifika kwa hiyo mashini, sijui ni confusion aina gani wanapata mpaka hata
view
2 May 2023 in Senate:
wameshindwa kufunga. Hii ndio maana ndege zetu zinatolewa hapa na kufanyiwa repair katika nchi ya Ethiopia. Bw. Spika, bado sijamaaliza. Ethiopia Airlines ina- manage airports zote za Ethiopia. Wanatengeneza pesa kutoka hapo. Wako na Travel and Tourism Agency yao. Ukitoka kwenye airport ya Ethiopia, upande wa kushoto utaona Ethiopia Airlines Hotel ambayo ni five-star hotel. Iko na vyumba Zaidi ya 500. Hiyo yote inawaletea pesa. KQ saa hizi, wakora, wanabook ndege ya Boeing na Airbus. Wakenya wakitaka kutumia hizi ndege lazima wapitie watu fulani. Hawa watu hawajalipa pesa. Pesa ya Kenya wakisign lease, ile deposit wanalipa ndio inaenda kulipwa kwa ...
view
2 May 2023 in Senate:
saa hii tumekosea. Ile shida ambayo iko kwa KQ leo ni leases . Bw. Spika, Serikali iliyopita ilikuwa uongozini kwa miaka kumi. Serikali ya Kenya Kwanza ambayo sisi tuko ndani, sasa imebakisha miezi miwili au tatu imalize mwaka mmoja. Hata baada ya miaka mingine tano, sioni kama mabadiliko yatakuja. Hata Serikali ya Kenya Kwanza haitaleta mabadiliko. Nafikiria hivyo kwa sababu kuna cartels wame sign contracts. Kama vile Sen. Wamatinga amesema, ukiangalia IPPs, wale watu wanapeana stima wakati huu, wamesaini kandarasi ya miaka 25. Hata kutoka kwa hiyo contract itakuwa ni shida. Hata saa hizi leases zimesainiwa za miaka 20 au ...
view
2 May 2023 in Senate:
. Kama hii Serikali ya Kenya Kwanza haitaleta mabadiliko kwa miaka tatu ijayo, Kenya imekwisha.
view
2 May 2023 in Senate:
Bw. Spika, sijui hiyo “State capture” ni gani. Tusilete tu hapa Statements pekee yake. Wiki mbili zilizopita, Waziri wa Barabara alisema Kenya Airways ni private company. Kwa hivyo, hawataulizwa maswali katika Bunge. Kama hatuwezi kuwauliza maswali, basi wacha tumuambie Mhe. Raila aende afanye maandamano asimamishe hao watu kazi. Kama sisi tumeshindwa kusimamisha hawa watu kazi, basi tutumie yule mtu ambaye ataweza kuwasimamisha. Kisheria, sisi hatuwezi kuwasimamisha kwa sababu contract imesainiwa ya miaka 25. Kama hatutoki, basi twende tuvunje hizo contract zao. Bw. Spika, nikiunga Sen. Cherarkey mkono, ningependa tusiongee mambo ya kusema ati tunafanya hii na hakuna kitu kinachofanyika. Statement ...
view
27 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I have two Statements.
view
26 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, and the CS. I have only one question on land in Moyale County. There is a big chunk of land called Ubalticha, which is being disputed between three communities; the Borana, Gabra and Burji. I wanted to know from the CS if he is aware of this dispute and when he is going to solve it. I thank you.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Kiswahili chao ni kigumu kwa vile nimetoka Kaunti ya Marsabit. Nitazungumza kwa Kiswahili na wasinikosoe kwa sababu nimetoka Kaunti ya Marsabit.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Naunga mkono Kauli ya Sen. Miraj. Wiki mbili zilizopita nilikuwa nimesafiri hadi Addis Ababa, Ethiopia. Ethiopia Airlines wamepata faida ya USD$950 millioni, dollari za Amerika.
view