All parliamentary appearances

Entries 821 to 830 of 1514.

  • 21 Mar 2018 in National Assembly: problem in the world today. It has been discussed at several forums. Many times, fake news is released through such forums. Now there are electronic newspapers, which just run on rumours and fake news. People access them and someone makes money. How do you deal with that? How do you deal with a cybercrime that happens outside Kenya’s jurisdiction? What do you do with a crime which has been committed in the United States of America (USA) by a Kenyan from Nairobi? If somebody hacks into a banking system in another country and accesses information or money, what happens? view
  • 21 Mar 2018 in National Assembly: We have not yet reached the end of innovation. Innovation will carry on. There is public information and private information. Some information is already in the public domain. There are so many other things we need to look into, including sensor. When you seize these materials, in whose custody will it be? We need to train police officers, judiciary officials and other people to catch up with these activities. There is money laundering involving banks as well as savings and credit cooperative societies (Saccos). Some Saccos are bigger than some banks and, therefore, use ICT to carry out their transactions. ... view
  • 15 Mar 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I will be brief on this Bill. This is a very important Bill though it has ignored some very important issues. Like in the metropolitan area, you can see clearly that Makueni has been left out yet it is along Mombasa Road, which goes all the way to Konza City running parallel to Kajiado. So, I will be making proposals to take care of this anomaly during the Committee of the whole House. They have also left out the Matatu Savings and Credit Cooperative Organisations (SACCOs), which are a very integral part of the ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa muda wa kuchangia Hoja hii muhimu sana inayohusu mambo ya afya. Mheshimiwa Mohammed Ali Mohammed amafanya jambo la busara sana kuangazia mambo ambayo yanawahusu Wakenya wengi. Kulingana na Katiba yetu katika Kifungu cha 43 na mpangilio wa kwanza wa sheria ya afya ya mwaka wa 2017, inaashiriwa kuwa kutakuwa na hospitali za kitaifa za rufaa za kiwango cha sita katika kila ugatuzi. Ni muhimu tulijadili suala hili na tuhakikishe limetekelezwa, kwa sababu kila sehemu ya ugatuzi nchini inafaa kuwa na hospitali kama ile ya kitaifa ya Kenyatta, ambayo sasa hivi inawashughulikia wagonjwa ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Lazima Serikali Kuu ifanye kazi na Mombasa Kaunti kuhakikisha kwamba hospitali hii inaanzishwa mara moja. Wafadhili wote na nchi zingine zote ambazo tunasaidiana nazo kuhusu afya na hata Shirika la Afya duniani, watusaidie ili mradi huu wa hii hospitali uanzishwe. Cha muhimu pia nikuangazia mambo ya maji safi. Maanake, tukiwa na maji ya kutosha magonjwa hupunguka kwa nusu. Dr. Sankok ako hapa na ni Mbunge ambaye anaelewa mambo ya afya. Ninatumaini kwamba hivi karibuni atachangia mambo haya kama mtaalamu anaelewa mambo ya afya zaidi kuliko mimi kama wakili. Lakini, bado naangazia haya mambo ijapokuwa siyafahamu sana kama Mhe. Sankok. The ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Ni lazima, tuhakikishe kwamba wajuzi wa afya wanasaidia ili hospitali hiyo ya Mombasa iwe ya kwanza na zingine zifuate. Pia zile hospitali tuko nazo huko Embu na Nyeri zipandishwe na kufika kiwango cha Level 6, ndiyo watu wengi hapa Kenya wapate afya bora. Ni kweli, tunatumia fedha nyingi kwenda nchi za ng’ambo tukifuata matibabu. Tunawapelekea pesa zetu wataalamu wengine, ilhali, hapa Kenya tuna madaktari hodari sana ambao wameenda shule na kusomea mambo ya afya. Lakini, mpangilio wa kuwa na afya bora ndio umekuwa shida. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Pia, tuna madaktari hapa Bungeni lakini kiongozi wa Kamati ya Afya si daktari na Katibu wa Wizara ya Afya pia si daktari. Vile vile, hata Waziri wa Afya si daktari. Ingefaa, tuwe na madaktari katika huo mpangilio na kama ingewezekana Waziri wa Afya awe daktari ambaye anaelewa mambo ya matibabu. Lakini, kama ni mtaalamu mwingine ambaye haelewi ni nini huendelea katika hospitali, itamchukuwa muda na atachelewa kuelewa na wagonjwa wengi watapoteza maisha yao. Ni lazima, tuhakikishe kwamba Wakenya wanatunzwa na tuna mpangilio mwema wa afya. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Tunaona Upinzani umesema kwamba tuwe na umoja na tusaidiane ili Wakenya wote wapate Huduma zinazofaa. Kwa hivyo, nauunga Hoja hii mkono. Gavana wa Kakamega anajenga hospitali kubwa sana akitumia pesa za ugatuzi pamoja na zile za wafadhili. Ameonyesha bidii na magavana wengine wanafaa kumuiga. Vile vile, Gavana wangu Kivutha Kibwana anasonga mbele. Tunaona magavana wanafanya bidii na waungwe mikono ndiyo hospitali 47 ziweze kujengwa haraka iwezekanavyo. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Nashuruku na naomba kuunga mkono. Asante. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me an opportunity. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus