Danson Mwazo

Full name

Danson Mwazo Mwakulegwa

Born

19th February 1956

Post

P. O. Box 54419 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

dmwazo@gmail.com

Email

voi@parliament.go.ke

Telephone

2848662 ext. 32662

Telephone

0727 747757

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 395.

  • 6 Nov 2013 in Senate: We will do so, Mr. Deputy Speaker, Sir. Sen. Abdirahman requested whether we could come with a list of all stalled projects in Kenya. That will need a lot of time. But I committed myself to bring a list of projects completed within five years by Victory Construction Company. I will bring that in 10 days’ time. But if he wants a total roads audit for the stalled projects in Kenya, then that requires much more time. It cannot be done in less than six weeks because we need to consult with the Cabinet Secretary for us to make a ... view
  • 6 Nov 2013 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, for the first one, I had sought 10 days. For the second one where he needs all the roads to be audited and the report be tabled here, I had said six weeks. view
  • 6 Nov 2013 in Senate: Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 6 Nov 2013 in Senate: Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 1 Oct 2013 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. First, I would like to congratulate the people of Taita Taveta for being very gender sensitive. I think we lead and others follow. This is a glaring example. Others need to borrow a leaf from us. I want to congratulate their elected officials and their members of staff. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Magaidi ni maajenti wa shetani. Ukisikia kwamba mtu anaitwa ajenti wa shetani, yeye hana dini. Kama wangekuwa na dini, hawangeweza kufanya hayo mambo. Nataka nipeane rambirambi zangu binafsi na watu wa Taveta Taveta kwa waliofariki dunia. Na walioko hospitalini, tunawaombea afueni. Mwenyezi Mungu awaguze wapate kupona kwa haraka. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Magaidi ni maajenti wa shetani. Na kama unaenda kupigana na shetani, ni lazima ummalize kwa sababu ukimwaacha, atakumaliza wewe. Sisi tukimuona nyoka, tunasema ni shetani. Nyoka ukimuua, ni lazima umgonge kichwa. Kwa hivyo, ni lazima tuwe na mbinu ya kupambana na magaidi hawa. Tusilaumiane kidini au kikabila. Inafaa tuwe na sheria mpya ambazo zitaongoza wale wanaofanya kazi katika mipaka, viwanja vya ndege na bandari ili tufahamu ni mtu yupi anayeruhusiwa kuingia nchini. Pili, akiingia nchini Kenya tutamfuata vipi ili tujue ni vitendo gani anavyofanya ndani ya nchi. Tumeshindwa na mataifa majirani wetu. Hata ukienda Namanga, ukiongea Kiswahili, maafisa wa usalama ... view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, tusije tukaweka lawama, lakini ninajua tutazungumza hapa na kusema kwamba, kama mtu amekaa kwa ofisi kwa miaka mingi, labda uzoefu na maarifa yamepungua, inafaa tufanye mabadilikio. Let us change the management . Katika usalama wa Kenya tunafaa kubadilisha jambo gani ili Kenya ithibitiwe kama nchi huru ili kwamba yaliyofanyika juzi hayatatendeka tena ? Ninaomba Mungu sana. Mimi nilikuwa pale na baada ya kuondoka, kwa muda wa dakika kumi nikienda Village Market, nilipigiwa simu kuambiwa kwamba pamelipuka. Ninapigia Mungu wangu asante na wale mababu zangu walioenda mbele. Kama ningekuwa pale, labda leo mngekuwa mnaomboleza. Lakini tuseme kwamba ... view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Tunasema ya kwamba ugaidi usije ukatambuliwa kwa rangi au lugha. Ugaidi ni ugaidi. Tunavyotaka kufanya ni kama vile Seneta wa Homa Bay amependekeza. Inafaa tupeleke usalama hadi vijijini ili kwamba utakaemuona pale, ni lazima umuulize ni nani na amekuja kwa nani. Hapa Nairobi, wengine tumeishi kwa miaka kumi na hatuwajuwi majirani wetu na kile wanachofanya. Ni wakati tuamke na tuanze kujua majirani wetu. Tukichukua uwezo huu kama wananchi, tutathibiti usalma wetu. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bi Spika wa Muda, jambo la mwisho ni kwamba askari wetu na wale wote wanaohusiana na usalama wamefanya kazi nzuri. Wale walioteleza kidogo, tutawarekebisha baadaye. Lakini tuwape motisha kwa kufanya kazi nzuri, maanake kazi bado inaendelea. Walioponyoka, tunataka washikwe ili watuambie kile walichokuwa wakitatafuta nchini Kenya. Tusipojua lengo lao, basi hatutajihami. Tukifahamu malengo yao, tutajiweka vizuri zaidi ili tutetee usalama wetu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus