David S. Kamau Mwenje

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 129.

  • 3 Aug 2006 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I want to start my contribution by paying tribute to the Government, and particularly the President, for the recorded improvement of this country's economy. I also want to ask Members of Parliament to remember to pray for our former President, Mr. Daniel arap Moi, who is now recovering. I hope that he will soon be discharged from hospital. Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, we are in an era that is concentrating on improving our economy. Farmers have now seen the very big difference that has been made, particularly in the sale of their produce. I ... view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niunge Mkono Hoja hii. Hoja hii ni muhimu sana.. Namshukuru Prof. Ruth Oniang'o kwa kufikiria kuleta Hoja hii katika Bunge hili. Nakubaliana na yeye kwamba ipo haja ya kurekebisha mfumo unaotumika kugawa chakula kwa watu walio na njaa. Lakini, sikubaliani na Mheshimiwa aliyeongea mbele yangu kwa kusema kwamba Serikali inauza mbolea yake cash, na inachukua muda mrefu kuwalipa wakulima. Siku hizi, wakulima wa mahindi hulipwa mara moja! view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, kwanza kabisa, Mheshimiwa amezungumza kwa lugha mbili. Sijui nitatumia lugha gani kumjibu! Ametumia Kiswahili na Kiingereza. view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, niko ndani ya Serikali hii na nasema mahindi hulipwa. Bw. Rotino amesema kwamba silimi mahindi, lakini mimi ni mkulima wa mahindi. Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna msemo wa Kiswahili husema: "Usinipe samaki kutoka 2530 PARLIAMENTARY DEBATES August 2, 2006 kwa refrigerator ! Nionyeshe jinsi ya kuvua samaki kutoka kwa maji." Kitakachookoa nchi hii ni kuwasaidia wanaokumbwa na baa la njaa - kama huko Mwingi na Kitui - kupata maji ili waweza kulima. Hakuna wakati hatutalia njaa ikiwa hatutawapatia watu maji ya kulima. Kutegemea kupewa chakula kila wakati ni jambo la umaskini kabisa. Tutaishi na ... view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna mambo mengine ambayo hayaeleweki kwa Kiswahili. Kwa hivyo, ninatumia Kiingereza ili watu waweze kuelewa. Siongei kwa Kiingereza bali ninaelezea maneno mengine. Tunafaa kuwa na Kamati ya kuangalia vile huu Mswada utatayarishwa. view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, si kawaida yangu kutumia Kiswahili lakini ninafurahia leo kuongea kwa Kiswahili. Kwa hivyo, nikifanya kosa moja, funga macho tafadhali. view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, basi, fungua macho! Ni lazima mipango iwekwe ili jambo hili liweze kufaulu. Jambo la kuwapatia watu chakula si rahisi. Chakula hiki kinapelekewa watu kupitia kwa machifu na wafanyakazi wa Serikali, na mara nyingi tunapata ripoti kwamba kimeibiwa. Ninaunga mkono Hoja hii. Huu Mswada unafaa kuletwa Bungeni kwa haraka ili tuweze kuupitisha. view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. The hon. Member knows very well that the Kshs1 billion is used to buy the strategic reserve food, which is distributed to the famine stricken areas. Is he in order to mislead the House when he has been in this House for so long and he knows that? view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. view
  • 2 Aug 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus