Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 682.

  • 28 Sep 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.52 (1) to make a Statement of a matter of general topical concern, namely, the plight of five Kenyans who are stranded in Malaysia. The five Kenyans, namely; Sospeter Ngahu from Bungoma County, Dickson Amin and David Nyamanga from Kisumu County, Geoffrey Maina from Kiambu County and Charles Gitonga from Nairobi City County travelled to Malaysia on the promise of well-paying jobs, only for them to become victims of global trafficking in humans. The five are now stranded in Malaysia and are living in very deplorable conditions. The victims ... view
  • 28 Sep 2023 in Senate: After the two months, when they decided to ask for payment from their Chinese employer, they were told that they could not be paid because they had been bought and should be ready to work for three years before a decision on whether they should be paid could be made. After another two months while working during a night shift, the five were thrown out by the employer without any compensation for their labour. Mr. Speaker, Sir, in order for the five to leave Malaysia, they need to pay a fine for overstaying their visa as they were not issued ... view
  • 21 Sep 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kujiunga na Maseneta wenzangu kukubali au kutia sahihi uteuzi wa Wakili Musangi kuwa Mwenyekiti wa Benki Kuu ya nchi ya Kenya. Mimi kama Seneta wa Kaunti ya Bungoma ninatia kidole cha ndio kwa sababu Musangi ni mzaliwa wa Kaunti ya Bungoma. Vile vile mwanabondia shupavu Bw. Wanyonyi, mwanariadha Bw. Ferdinand Wanyonyi, Bw. Chebukati na watu wengi wote wazuri wanatoka Kaunti ya Bungoma. Waswahili husema chema chajiuza na kibaya chajitembeza. Wengi wamezungumza hapa sifa za Bw. Musangi na ni kweli chema chajiuza. Sitaki kumsahau Daktari Papa wa Roma Spika wa Bunge la Kitaifa ... view
  • 21 Sep 2023 in Senate: Kwa hayo machache nashukuru kwa nafasi hii. Namtakia Bw. Musangi kila la kheri kwenye uchapa kazi wake katika Benki Kuu ya Kenya. Asante, Bw. Spika. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii ambayo umenipa kuchangia mjadala huu. Wakenya wanatazama kwa makini sana yale tunayojadili. Wanajua ya kwamba walipigia viongozi timamu, watu wazima, kura. Hawakuchaguwa watu kwa sababu ya urembo, sura, ulimi, mate--- Walichaguwa watu wenye akili timamu. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Haiwezi kuwa mtu akipita barabarani akitabasamu, anatembea katika baraza za mji na katika majengo ya Bunge, kisha binti mmoja ambaye anadhani kwamba ni mrembo kwa wote anapomuona wakati anapita, anapiga nduru akisema anammezea mate. Ni tabia mbovu. Umenge au jinsia ya mtu haimpi ruhusa kudunisha mwingine. Yale tumeona kwenye mtandao ni kinaya sana. Seneta anaandika maneno yasiowezakusomeka na sisi ni maseneta wenye hadhi na tajriba ambayo tuko nayo hapa sasa. Nilikuwa katika vikao hivyo. Binti huyu amejipodoa sawa. Amekuja na mawakili wakiwa wamebeba majadala mazito, ila hamna chochote ndani ya majadala hayo. Ilikuwa kutisha maseneta kwamba ameleta mawakili. Wengine wetu ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, kule kwetu, sisi husema ukimuona binti unapopita, na unapopiga miluzi kila mara anageuka kukutazama, anafikiria huenda mwanya katika mdomo wake unakupendeza. Kumbe ni tabia yake mbaya inayokufanya unataka view
  • 20 Sep 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: kukimbia, ni kama umemuona nyoka. Ndio hayo ninayoona katika Jumba la Seneti. Ukimuona nyoka, toroka. Yale ambayo tumependekeza kama Kamati ya Mamlaka na Heshima ya Bunge ni kali, lakini unapoyavulia, lazima uyaoge. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Namuonea huruma. Tunaweza punguza nusu lakini mwezi moja iwe ya matibabu kisha miwili awe nje ya Bunge. Hiyo ni miezi mitatu na nyinyi mnajuwa mambo ni matatu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus