13 Nov 2018 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Speaker. I want you to give guidance. Some Cabinet Secretaries appear before a Committee and provide an answer that is completely different from what was sought. This is especially in the Departmental Committee of Administration and National Security where they photocopy occurrences in the Occurrence Book (OB) as opposed to providing a suitable answer.
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
Unless you give direction on this matter of Members asking Questions and not getting suitable replies, it is going to disfranchise Kenyans. Members need to get proper answers for the Questions they ask. We do not know what a Member who is not satisfied with an answer should do. Can he bring the Question back or reframe it? What should happen?
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii nichangie Mswada huu. Mojawapo ya njia za kuhakikisha kwamba Wakenya wanapata huduma bora katika sekta tofauti, ni kubadilisha sheria katika sehemu ambazo zinalenga kuboresha huduma kwa wananchi.
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
Hata hivyo, nimepitia Mswada na nangojea wakati ufaao ili nilete mapendekezo ya marekebisho zaidi kuboresha sheria hizi. Nawaomba Wabunge kwa sababu mrengo wa Upinzani The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
wa kuangalia masuala haya wanaoketi upande wa kushoto wa Bunge wameungana na sisi kusonga mbele. Nawahimiza sote kama Wabunge tupitie sheria hizi ili wakati wa kuzipika zaidi, tuwape Wakenya sheria ambazo zinawanufaisha wote. Tumekuwa na mazoea hasa katika kurekebisha sheria hizi. Kuna marekebisho ya moja kwa moja na tunaweza kuwa na watu wanaoweza kutumia njia fiche kuhalalisha mipango yao kwa kugeuza hizi sheria.
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
Nimezipitia na nimeona ziko na dosari kidogo hasa sehemu inayosema kutakuwepo na mfuko maalum wa pesa. Ni lazima tujue mfuko huu rasmi wa pesa utaendeshwa vipi na isiwe ni njia ya kuvuja pesa ya wanachama. Vile vile, inapendekeza kuwa kutakuwa na kamati maalum ya uegezaji ambayo wanachama wake ni lazima wawe na shahada ya digri. Vile vile, inapendekeza si lazima wawe wanachama wa chama wanachowakilisha. Naona hiyo ni dosari kidogo ambayo ni lazima tuiangalie na tuzungumze na wadadisi wa masuala ya uendeshaji shughuli ya vyama vya ushirika tuone kuwa marekebisho tutakayopendekeza yawe yanalenga kuboresha sheria hizi zaidi na wala sio ...
view
13 Nov 2018 in National Assembly:
Naunga mkono ijapokuwa nangoja wakati ufaao nilete marekebisho ya kuboresha zaidi. Asante sana, Mhe. Spika.
view
7 Nov 2018 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
7 Nov 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, sorry for interrupting the Whip of the Majority Party. I really want to bring to your attention that yesterday, Hon. Sankok was dressed like a Clerk-at-the Table and now he is dressed like a cook. Surely, this House is not a place where you dress the way you want. If this is going to continue, then it means by tomorrow, each of us will be coming here dressed in the manner they want.
view
25 Oct 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I am the Member of Parliament of where he comes from. Thank you for giving me this opportunity. Peace is a very important element of development in this country. I do not think we have acquired the necessary peace that we need for us to have a peace day as a country. Until we see the end of the killings that are happening in the North Eastern part of this country and some parts of Trans Mara, that is when we can have a peace day. The handshake between the President and the former Prime Minister ...
view