Enoch Kiio Wambua

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1401 to 1410 of 2681.

  • 24 Mar 2022 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii nijiunge na wenzangu kumuomboleza mwenda zake, Spika wa Bunge la Uganda. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Nachukuwa nafasi hii kwa niaba yangu na ya wakaazi wa Kaunti ya Kitui ninaowakilisha katika Bunge la Seneti, kutuma risala za rambirambi kwa familia, jamii, Bunge la nchi jirani ya Uganda, kufuatia kifo cha Spika wao. Ninawapa pole Maspika wote wa Bunge za Jumuia ya Afrika Mashariki kwa kumpoteza mwenzao aliyekuwa kiongozi baina yao. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Niseme kwa kifupi kwamba hili janga la saratani limetupokonya viongozi na watu wengi katika eneo la Afrika Mashariki. Ingekua ni jambo la muhimu sisi kama viongozi tungejitolea na kuhakikisha kwamba tumefanya juu chini kuweka hospitali na vifaa vinavyotakikana kukabiliana na janga hili. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Ni jambo la kusikitisha kwamba wakati mwingi viongozi, wetu wakiwa na huu ugonjwa, wanaenda nchi za nje kupata matibabu. Sio watu wengi wanaweza kwenda nje kutafuta matibabu. Kwa sababu ugonjwa huu haubagui viongozi wala wananchi wa kawaida, ingekuwa ni jambo la busara kuweka mikakati ya kutosha kuwa na vifaa na hopsitali za kukabiliana na janga hili. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Kwa niaba yangu tena, familia yangu na watu wa gatuzi la Kitui, nasema pole kwa familia ya mwenda zake Spika Jacob. Mungu na ailaze roho yake mahali pema peponi. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nina hoja ya nidhamu. Ndugu yangu, Seneta wa Kaunti ya Narok, anasema anajifunza Kiswahili katika Bunge la Kitaifa. Sisi hapa tuko katika Bunge la Seneti. Bunge la Kitaifa ni National Assembly . Ni kumkosoa tu kidogo. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Asante. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, first, I would like to congratulate the Chairperson of the Senate Committee on Finance and Budget for being very firm on a matter as important as the management of conditional grants to counties is concerned. It will be remembered that The County Governments Grants Bill is a Senate Bill. It originated from this House. The records will bare me witness that, that Bill elicited a lot of debate and support in this House. This is because in it we get an opportunity to align the management of conditional grants going to our counties. At stake in ... view
  • 24 Mar 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Mar 2022 in Senate: It is difficult to understand how the Senate Majority Leader, who is actually the Leader of Government Business in this House--- He knows pretty well that the County Governments Grants Bill is pending in mediation, but he went ahead to table the Division of Revenue Bill to be debated. In fact, I want to go on record on this that there seems to be an unexplained hurry in pushing the Division of Revenue Bill because when it was debated yesterday, and the HANSARD will bear me witness, I tried to raise an issue three times online, but I was not ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus