Gideon Kimutai Koske

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 331 to 340 of 353.

  • 20 Feb 2019 in National Assembly: (Inaudible) view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: (Inaudible) view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia fursa hii nichangie Hoja hii ya ada za matibabu katika hospitali za rufaa. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Tulichaguliwa na raia ambao waliamka asubuhi na kushinda kwa jua, kunyeshewa na mvua, kupigwa na baridi na kusimama kwenye giza ili waweze kushughulikia shida ambazo ziko mashinani. Magonjwa yamekuwa mengi sana karne hii. Idadi ya Wakenya imekuwa kubwa sana. Watu wetu wakipelekwa kwa hospitali za rufaa na wanafariki dunia kwa bahati mbaya, inakuwa shida sana kutoa miili yao kwenda kuzika. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Kuaga dunia ama kuachana na sisi tukiwa hapa dunia. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Wakiaga dunia, inakuwa gharama kubwa sana kupeleka miili yao kuzikwa. Tunaomba Serikali, kwa sababu sisi ni mali yake, itushughulikie wafutilie mbali ada hii ili itusaidie kupeleka watu wetu kuzikwa. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Nilikuwa na hayo. Tunaomba turuhusiwe tuongee Kizungu. view
  • 5 Dec 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also add my voice on the free Wi-Fi and all that includes the ICT introduction in our constituencies across Kenya. Kenya is so rich in terms of technology. Kenya was the first country across the world to do M-Pesa transactions. That was an innovation which put Kenya on the global map on ICT and innovation. Knowledge has always been a factor of production and a driver of the economy in social development. This ICT introduction across our constituencies… Some of us who come from rural areas like Chepalungu ... view
  • 9 Oct 2018 in National Assembly: I support the adoption of the Report on Pan- Africanism. The section that I want to emphasise is on the diseases. They have put across measures and prayers towards eradication of HIV/AIDS by 2030. I acknowledge and understand that Kenyans are facing a big challenge called cancer. I suggest they should have combined cancer and HIV/AIDS so that by 2030, we could be safe from those diseases. A healthy nation is a wealthy nation. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus